Binafsi huwa ninawashangaa sana watu wanaokula zaidi ya mara 4 kwa siku. Binafsi ninakula mara 2 tu kwa siku.
Ndio utaratibu unakuta mtu anafukia milo 4 hadi 5 na hana kazi ya nguvu afanyayo
Binafsi huwa ninawashangaa sana watu wanaokula zaidi ya mara 4 kwa siku. Binafsi ninakula mara 2 tu kwa siku.
watanzania ni watu wanao weza kutembea na ungonjwa mpaka anazeeka bila kujitibu, akipata malaria inamuua haraka kwasbb inakuta mwili umeshakua dhaifu mda mrefu, watanzania tungekua na utamaduni wa kucheki afya zetu na kutibu ma hospitali yangekua na foreni kama ya mpira wa simba na Yanga. Ila tunauchuna tu ndo maana tunakufa mapema.kweli tunahitaji elimu me nilikuwa najua wanga inachakatwa kuwa lactose (glucose) iliyochangamka kumbe wanga kama makande bila marage na hayana kiini yanasababisha mafuta. ni hatari kwa kweli.
kuna natamani kuuliza kwa idadi ya Tanzania wangapi wanakula wangu kwanini idadi ya wagonjwa ni chache. au kuna miili wakila wanga tatizo linatokea?
Mtanzania ni watu wanao weza kutembea na ungonjwa mpaka anazeeka bila kujitibu, akipata malaria unamuua kwasbb unakuta mwili umeshakua dhaifu mda mrefu, watanzania tungekua na utamaduni wa kucheki afya zetu na kutibu ma hospitali yangekua na foreni kama ya mpira wa simba na Yanga. Ila tunauchuna tu ndo maana tunakufa mapema.
Kupima na kutibu, na kukinga, kwenye elimu ya medicine havitenganiswi. Mkuumkuu hiyoo comment inahusiana na kupima?
huwa inanishangaza sana. unakuta kila kituo mtu ananunua kitu anakula mpaka unajiuliza tumbo lake lina backup?Ila kuna Watu wanapenda sana kulakula. Hilo utaliona hasa unaposafiri
Watanzania asilimia 99 hawapati breakfast bali wanakunywa maji yenye sukari au unga wenye sukari na nganoHivi hi milo mitatu kwa siku kaiweka nani eti asbuhi break fast mchana lunch usiku super......hapo kuna evening tea ya jioni....hiyo milo mitatu nikujiletea matatizo ya mwili bure... ukiwa na discipline ya chakula mtu ana uwezo wa kuishi kwa mlo moja na nusi na akanawili hasa sisi tunao ishi mijini.
Wabongo kwa ujuaji🫡🫡 .Huyu nayee vipiii, Sukari na Wanga????
Ukishataja Sukari umetaja Wanga.
Pavlov aliielezea vizuri kwa kutumia mfano wa Mbwa, kuwa ikiwa Mbwa umemzoesha kabla ya chakula lazima ugonge kengele na muda ni ule ule, basi muda huo ukifika usipogonga kengele hatakulaMwili unaendeshwa kwa mazoea ukiendekeza kula milo mitatu utakuomba chakula kila unapo fika mda, tumezoea kula sana wa Tanzania hata masikini anakula na anamafuta mwili ya ziada.
Kwamba wewe na yeye nani anaelewa au kukutana na hayo magonjwa kila siku?Huyu nayee vipiii, Sukari na Wanga????
Ukishataja Sukari umetaja Wanga.
Idadi ya wagonjwa wachache umeipata wapi?Kweli tunahitaji elimu me nilikuwa najua wanga inachakatwa kuwa lactose (glucose) iliyochangamka kumbe wanga kama makande bila marage na hayana kiini yanasababisha mafuta. ni hatari kwa kweli.
Kuna natamani kuuliza kwa idadi ya Tanzania wangapi wanakula wangu kwanini idadi ya wagonjwa ni chache. au kuna miili wakila wanga tatizo linatokea?
Na hospital nyingi huongezea watu magonjwa ya figo sababu ya kuwapa dawa bila kuwapima sahihiwatanzania ni watu wanao weza kutembea na ungonjwa mpaka anazeeka bila kujitibu, akipata malaria inamuua haraka kwasbb inakuta mwili umeshakua dhaifu mda mrefu, watanzania tungekua na utamaduni wa kucheki afya zetu na kutibu ma hospitali yangekua na foreni kama ya mpira wa simba na Yanga. Ila tunauchuna tu ndo maana tunakufa mapema.
Mzee baba hapo kwenye red sijakupata.kweli tunahitaji elimu me nilikuwa najua wanga inachakatwa kuwa lactose (glucose) iliyochangamka kumbe wanga kama makande bila marage na hayana kiini yanasababisha mafuta. ni hatari kwa kweli.
kuna natamani kuuliza kwa idadi ya Tanzania wangapi wanakula wangu kwanini idadi ya wagonjwa ni chache. au kuna miili wakila wanga tatizo linatokea?
Kama unakumbuka pavlova conditioning theory kwa 70% utakua mualimu wa degree mkuu, unafundisha wapi au umesha acha ualimu kama mpyayungu VillagePavlov aliielezea vizuri kwa kutumia mfano wa Mbwa, kuwa ikiwa Mbwa umemzoesha kabla ya chakula lazima ugonge kengele na muda ni ule ule, basi muda huo ukifika usipogonga kengele hatakula
Elimu ni kile kinachobaki kichwani.Kama unakumbuka pavlova conditioning theory kwa 70% utakua mualimu wa degree mkuu, unafundisha wapi au umesha acha ualimu kama mpyayungu Village
Wafanya kazi wa medics ni wavivu hawataki kuchunguza kwa makini, anasikiliza mgonjwa badala ya kuchunguza mwenyewe watumishi wa afya pia ni mwibaNa hospital nyingi huongezea watu magonjwa ya figo sababu ya kuwapa dawa bila kuwapima sahihi
Huyu baba kwake kuna jiko kweli
Yuko against chochote kinachoenda mdomoni.
Kuhusu sex anasemaje??
Ilo sio biology ni somo la educational psychology mwaka wa kwanza degree ya BA/ Bsc educationElimu ni kile kinachobaki kichwani.
Sasa Biology ya 2006 niisahau leo miaka 17
Sijazungumzia magonjwa boss,Kwamba wewe na yeye nani anaelewa au kukutana na hayo magonjwa kila siku?