idriss
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 720
- 366
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
Huyo babako wa taifa binafsi yake mwenyewe kala'aniwa atamlaani nani????
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
UKAWA bye bye.....wakaanga sumu mtajibeba.....Jibu hoja sio kutoa mapovu tu
you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
UKAWA bye bye.....wakaanga sumu mtajibeba.....Jibu hoja sio kutoa mapovu tu
UKAWA bye bye.....wakaanga sumu mtajibeba.....Jibu hoja sio kutoa mapovu tu
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
Hivi tazama ndo gazeti gani?![]()
Atumie na yale mengine ya kufungia vitumbua Mzalendo na Jambo leo! Tteh teh teh teh teh..........
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
![]()
huna kitu kichwani, jibuni hoja kuwa lipumba ameistukia ukawa
Wao wanakalia siasa watu huko tra wanapiga hela, wanaboa
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
![]()
Tamzania daima, Uhuru, Tazama huwa Sipotezi hela kununua haya Magazeti
Nilichotaka kuandika umenipre empty kaka. Inaonekana ukawa inawasumbua sana watu fulani. Halafu waulize hao vigogo wa chadema wanaopinga hilo ni akina hakuna jibu. Jibu sahihi ni propaganda. Full stop. Mwaka 2015 Nark ya Tanzania kama ya kenya inaingia madarakani. No joke this time around.