UKAWA iliasisiwa na Prof Lipumba au Kisandu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
97,869
171,695
Wakati akirejea CUF Prof Lipumba alisema wazo la kuanzisha Ukawa alilitoa yeye pale BMK. Jana tena mwanaccm Kisandu amesema yeye ndiye aliyeasisi wazo la kuanzisha ukawa.

Wanabodi anayejua ukweli anijuze niweke kumbukumbu zangu za kisiasa sawa.
 
Back
Top Bottom