ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
La kufungia maandazi..Ha ha ha ha gazeti la Uhuru
La kufungia maandazi..Ha ha ha ha gazeti la Uhuru
you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.

Ulitaka atumie gazeti la Tanzania Daima au -----?
Kweli JF ni zaidi ya niijuavyo!?
you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"
Ukawa itakufa kama Chadema ilivokufa
Tena bora wezi ambao wameshiba....nyie mna njaa mkiingia kuiba mtaiba ad unga na sukari bot....peleken njaa mbelee ukoo...
Ok tuseme tunawapigia kura muupate urais....tunapiga cdm?.ukawa?,,nccr?,,cuf?,,
Mmevurugwaaa nyieee
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.
huna kitu kichwani, jibuni hoja kuwa lipumba ameistukia ukawa
Kama ni uzalendo kwa UKAWA ni wakati huu na kama ni kipindi viongozi wa UKAWA kuukwaa utajiri ni sasa. maana nijauavyo CCM hawana uwezo wa kujenga hoja na wao kuendelea kuwa madarakani ni kwa kutegemea jeshi na tume ya kuchaguzi kuchakachua matokeo, basi watawahonga viongozi wa UKAWA mpaka hazina yetu iishe kabisa kwani mpaka sasa wameitafuna vibaya sana. Mimi nawashauri UKAWA wachukue hiyo hela yetu toka hazina kupitia ccm waitumie kwenye elimu ya uraia huko mikoani ili itumike kuwakomboa watanzania. Safari hii tutaona chama chenye mbinu za kizee na vitisho hadi kuua watu ili wabaki madarakani kwani hawa watu wameingia mikataba mingi ya kilaghai na madudu mengi ambayo hakuna namna ya kukwepa mkono wa sheria. Watakachofanya sasa ni kuhakikisha wanawapa viongozi wa jeshi hela nyingi ya haramu kuhakikisha wanawalinda kwa namna yoyote rejea jeshi kuchukua nchi.tulia mkuu vikuingie maana ulikuwa kampeni meneja wa UKAWA!
Hivi mkuu, wewe unaelimu gani!??
Inayopumulia machine ni Chagadema,wanahaha kutafta ndoa kwa vyama vingine walivyooviita CCM-B,sasa Ukawa ni CCM -C...kwi! kwi! kwi!
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'
Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
![]()
Pamoja na kujaribu kuelewa unachomaanisha, nikwambie kwamba Lipumba hawezi kuwa na akili kama hiyo!you haven't say any thing abaout lipumba's statement that "TUMEISHTUKIA UKAWA"