Prof. Ibrahim Lipumba: Tumeistukia UKAWA

Tamzania daima, Uhuru, Tazama huwa Sipotezi hela kununua haya Magazeti
 
Propaganda za kitoto hizi.

asavali ya wewe na faiza foxy fahamu zimeanza kuwarudia hizi ni propaganda za kindergarten kabisa.

hivi kile chuo chetu cha kivukoni kilifungwa kabisa? maana makada wa siku wanapwaya sana hawana hata hadhi ya kuwaita comredi.
 
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao

Mimi nitafurahi atakapotokea kiongozi au chama kitakachoingia madarakani na kuunda tume au kuanzisha mchakato wa kujua ukweli kuhusu kifo cha Karume,Sokoine,Kolimba,Kighoma Malima ,Meja general Imrani Kombe ,Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Nyerere na Dr.Mvungi.

Halafu pia afanye mchanganua wa kuyaweka wazi matusi waliyotukanwa waasisi wa Taifa hili na kuwafikisha mahakamani watakaobainika kuhusika.
 
wataanza na uchunguzi wa kifo cha marehemu CHACHA WANGWE...plus GRACE MBOWE....
 
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'

Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
attachment.php

"ndio yule yule, buku 7 " kujisemea madee .
 
Front page ya gazeti la TAZAMA imeandikwa, 'CUF waishtukia UKAWA' chanzo Prof. Ibrahim Lipumba,
Pia front page ya gazeti la UHURU imeandikwa 'Vigogo CDM waipinga UKAWA'

Niliuliza siku moja kuwa, kina Lipumba na Mbowe wanataka kuja kutueleza nini wananchi ambacho hatukukiona BMK.
Sasahv wameanza kuuza front pages za magazeti. Ebu waje hapa watueleze WALICHOKISHTUKIA kama ni waungwana!
attachment.php

Kwa hiyo waliosikia habari hizi ni magazeti ya uhuru na tazama tu.Mengine yote hayakusikia.
 
Jamani tuelezeni vitu vilivyo kamili basi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Yaani hayo magazeti yanayoandika page mbili propaganda,Page 7 utabiri wa nyota,matangazo ya waganga wa kienyeji na pia makala za kuwachambua Illuminati kisha page moja ya habari za Simba na Yanga au Manyema FC ndiyo unatuletea hapa kama reference au reliable source? Please,We deserve better than this.

Its sound like TANZANIA DAIMA
 
Well said!
 
nina hakika haya magazeti mawili hayauzi nakala zaidi ya 50 kila yakitoka...
 
Kuna haja gani ya kuuliza habari zinazoandikwa na TAZAMA na UHURU na sio magazeti mengine yenye hadhi ?

Anataka habari iyandikwe na gazeti namba 1 la umbeya tanzania daima ndio aamini lipumba kaongea nini na wajumbe wao wa chagadema wamepinga nn
 
Mimi nitafurahi atakapotokea kiongozi au chama kitakachoingia madarakani na kuunda tume au kuanzisha mchakato wa kujua ukweli kuhusu kifo cha Karume,Sokoine,Kolimba,Kighoma Malima ,Meja general Imrani Kombe ,Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Nyerere na Dr.Mvungi.

Halafu pia afanye mchanganua wa kuyaweka wazi matusi waliyotukanwa waasisi wa Taifa hili na kuwafikisha mahakamani watakaobainika kuhusika.
Bila kusahau CHACHA WANGWE na GRACE MBOWE.
 
Hivi gazeti la uhuru linauzwa shilingi ngapi?na linatoka juma ngapi? "serious"
 
Back
Top Bottom