nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,248
UKAWA ni genge la swala na Simba,dhambi ya kumtukana Baba wa taifa itawafuata mpaka majumbani kwao
hakuna anayemtukana nyerere kama jk na genge la mafisadi wenzie..nyerere hakuwa mwizi wa rasilimali za taifa kama jk na wenzie.