luhala
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 412
- 142
Wanaoyasoma magazeti ya Uhuru na Tazama na kuyaamini wanapaswa kupimwa kiwango chao cha akili.
Kama Tazama waandishi wake hawana elimu wala ujuzi, wana rekodi za ovyo ovyo na ni wahalifu nyuma ya pazia la CCM wakijikomba ili wagange njaa.
Heri kuusoma umbea wa Shigongo kuliko hizo takataka.
Sent from my iPhone using JamiiForums