Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Hospital ya Mataahira Tabora, Mtoto alikuwa akikojoa kwenye Balcon. Mwalimu akaja na yule kijana akakatiza zoezi hilo. Mwalimu alipoona hivyo, akajua kijana ameshapona kwani anafahamu baya na zuri. Mwalimu akamuuliza, "Mbona umekatika kukojoa?" Yule kijana akamjibu "niliogopa kuwa utaukamata mkojo wangu univute chini nianguke...."
Sasa hapa ndiyo umemuona mwenzio Mjinga? Tena unaandika kwa herufi ndogo? Unajua Mwenzio anaelezea makala nyingine za nyuma pia? Au wewe umekamata moja tu ya Baregu? Panua ubongo na ona mbali zaidi ya Makala ya Baregu.

Yaani katika watu nilioona humu JF, wewe ni mjinga kuliko wote. Iweje umshambulie mwandishi wa habari badala yaa kumlaumu Baregu aliyenukuliwa maneno hayo? hii kweli ni balaa. akili za bavicha zimefika ukingoni