kumbe!!! ndio mana umemaliza miaka lakini hujaelimika, ulivyoenda ndivyo ulivyoondoka
Chadema Ukanda, CCM udini, Raisi Muislam, Makamu wake Muislam, mwenyekiti wa Chama Muislam, Katibu wake Muislam.
Mimi sikua mfuata upepo kisa aliyesema ni Ph.D holder au Profesa.Akinizingua nasepa zangu naingia chimbo natafuta nondo walizoandika wengine wengi halafu tukutane kwenye pepa kuliko kumezeshwa uchafu
Wengine waliojaribu kutumia mamlaka yao ya ualimu na kusubiria kunikomoa kwenye pepa waliishia kuaibika vibaya.
wewe ni mnafiki na mzandiki ile mbaya. kama ulikubali kubebeshwa sumu kumuua zitto, utakubaliana na ushauri wowote wa kutaka suluhu? kwako kitendo cha zitto kufukuzwa uanachama ni ushujaa
Kikwete anamuongoza prof j4 magimbi,prof mwandosya,dr mwaki-embe,prof maji marefu nk...
Hivi hayo ndiyo yaliyotamkwa na profesa au ni magazeti yamemnukuu vibaya?
Siamini kama kuna msomi anayeweza kukiuka itifaki,kanuni na maadili na kuanza kutoa matamshi au ushauri kupitia vyombo vya habari badala ya vikao ambavyo yeye ni mjumbe
Ndiyo maana Chuoni nilikua na-walk out mara nyingi kutoka kwenye mihadhara kuliko kukaa na kuwasikikiza maprofesa niliokosa nao imani intellectually!
We jamaa bhana..
Kuna tofauti ya uwezo wa kuwa kiongozi na sifa za kuwa kiongozi!! We endelea kukariri tu mambo!
Msimamo wa Kamati kuu ndio msimamo wangu.Nasimamia line iliyochorwa na kamati kuu.Hayo ya sumu ni kukosa hoja
Kwenye Siasa PHD siyo issue hivi niambie kama CCM au CHADEMA vilianzishwa na PHD holders...NCCR MAGEUZI walijifanya wao wasomi sana wako wapi leo? Kama mnakumbuka kauli ya Wassira kuwa by 2015 CHADEMA itakuwa historia hivyo MAMLUKI lazima watolewe NO MATTER WHAT! Njia aliyoitumia Dr Kitila na wenzake ni sawa sawa na njia aliyotumia na anayoendelea kuitumia EL...CCM wana akili sana sidhani kama EL atakuwa ndiye mgombea kwa tiketi ya CCM...underline my words!! Kuna sharia ya TISS inatuzuia kuwataja watu ambao ni TISS agent vinginevyo...watu wangewaanika MAMLUKI wote ndani ya CHADEMA...!!Maji na mafuta siku zote havichanganyiki! Tatizo la CHADEMA ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Sasaa unategemea nini kipofu akiongoza? Leo hii professor anaongozwa na mhitimu wa elimu ya secondari eti kwa vile tu ni mfadhili wa chama!
Maji na mafuta siku zote havichanganyiki! Tatizo la CHADEMA ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Sasaa unategemea nini kipofu akiongoza? Leo hii professor anaongozwa na mhitimu wa elimu ya secondari eti kwa vile tu ni mfadhili wa chama!
Kwenye Siasa PHD siyo issue hivi niambie kama CCM au CHADEMA ilianzishwa na PHD holders...NCCR MAGEUZI walijifanya wao wasomi sana wako wapi leo? Kama mnakumbuka kauli ya Wassira kuwa by 2015 CHADEMA itakuwa historia hivyo MAMLUKI lazima watolewe NO MATTER WHAT! Njia aliyoitumia Dr Kitila na wenzake ni sawa sawa na njia aliyotumia na anyoendelea kutumia EL...CCM wana akili sana sidhani kama EL atakuwa ndiye mgombea kwa tiketi ya CCM...underline my words!!
Baregu ni kiongozi wa CHADEMA ni mjumbe wa kamatu kuu.
Au kwako wewe kiongozi ni mwenyekiti tu.
Akili nyingine kama kondoo jike.
unamfahamu JK eliyepata gent ya 2.1 hahahah magambaaz mnamatatizo kweli.Maji na mafuta siku zote havichanganyiki! Tatizo la CHADEMA ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Sasaa unategemea nini kipofu akiongoza? Leo hii professor anaongozwa na mhitimu wa elimu ya secondari eti kwa vile tu ni mfadhili wa chama!
Akili ni nini?Maji na mafuta siku zote havichanganyiki! Tatizo la CHADEMA ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Uongozi sio elimu!!!!Sasaa unategemea nini kipofu akiongoza? Leo hii professor anaongozwa na mhitimu wa elimu ya secondari eti kwa vile tu ni mfadhili wa chama!