calculator
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 279
- 137
Naona unaitikia wimbo ambao huujui
Ww unayeujua mbona umepigika tu na maisha haya??
Naona unaitikia wimbo ambao huujui
Tatizo la viongozi wa CHADEMA ni kuwa hawana elimu lakini pia hawana sifa ya kuwa viongozi
JK, Kinana, Mangula, Nape, (Makamba) ni ma profesa wa vyuo vikuu wenye uwezo uliotukuka. Wamekisimamia na kukiongoza chama cha mapinduzi vizuri na hakuna mipasuko wala mgawanyiko kw chama
Safi sana Prof Baregu.Hizi ndizo hoja za kuzungumza siyo porojo za Lema na Wenzake.
Mungi Kurugenzi ya Habari Chadema Tumaini Makene
@Dr.W Slaa
Elimu gani unayoiongelea? Dunia? Kamwulize bakhresa, ukitoka hapo ndenda kwa kapuya, then Mlugo, Mulongo na Simbachawene. Wote waulize swali moja tu elimu imewasaidiaje?
Maji na mafuta siku zote havichanganyiki! Tatizo la CHADEMA ni akili ndogo kuongoza akili kubwa.
Sasaa unategemea nini kipofu akiongoza? Leo hii professor anaongozwa na mhitimu wa elimu ya secondari eti kwa vile tu ni mfadhili wa chama!
Baregu alitakiwa kumtahadhalisha Zitto kuhusu mipango yao ya mapinduzi.
Ila kama kawaida, alikaa kimya akidhani mipango ile ingetimia.
Sasa anatapa-tapa kujaribu kumuokoa Zitto.
Zitto ameshakwisha, anachoweza kufanya Zitto ni kukimbilia mahakamani. Kesi itanguruma mpaka baada ya uchaguzi mwaka 2015.
Hataweza kugombea wadhifa wowote ule, na akishinda, sana sana atabaki kuwa mwanachama wa Chadema, bila ubunge wala cheo chochote kile.
Zitto kwisha kazi yake, akadai mafao yake CCM, atulie.
Mkuu, aliyenukuliwa ni Prof BAREGU, mjumbe wa CC ya CHADEMA. Mwananchi wameripoti tu taarifa hiyo. nakushangaa kuilaumu mwananchi
waliopo CCM hata kama hawana elimu lakini wana qualities za uongozi. Hebu mwangalie MBOWE, hana elimu lakini pia hana sifa za kuwa kiongozi
Prof Baregu anafaa kuwa kiongozi, lkn kwa ukabila na ukanda wa Chadema hatopata.
Hongera prof kwa kuwa na mawazo huru na si kuwa kibaraka wa Mbowe.
katoa ushauri mzuri tu mkuu. nyie kwa vile mnatumika na akina mbowe ndo mnaona kila msiyempenda anatoa ushauri mbaya. kuwa kiongozi ni kuvumilia mengiNaona Prof. Baregu anafikiri kuwa mtu hawezi kubadilika. Anaamini kuwa hawa watu hawawezi kutumika. Mi namshauri awaache hawa wazee (wako zaidi ya miaka 38) wajibu tuhuma kama walivyotakiwa. Wakijibu vizuri kamati kuu itaamua.
Kwani Katiba na kanuni za CHADEMA zinasemaje kuhusu mwanachama 'aliyethibitika' kutaka kufanya uasi ndani ya Chama?