Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,659
Hata wewe haufai
Kikwete anamuongoza prof j4 magimbi,prof mwandosya,dr mwaki-embe,prof maji marefu nk...
Unajichanganya baabu Sikonge! Mwanzo ulimtetea na sasa unasema hafai!
Uongozi ndani ya CHADEMA unatokana na wanachama kupitia sanduku la kura kwa hiyo kama unaamini kuwa Zitto amekosana na wengi, hustahili kuwa na hofu kwa vile wengi hawatamchagua hata uchaguzi ukifanyika kesho.
Mimi naona ni kinyume chake kuwa akina Mbowe wanahisi wengi wa wanachama watampa kura ndio maana wanamuogopa.
Any ways, sisi sote ni ndugu moja, there is no need kupigana na kuzushiana. Hivi vyama vya siasa vilivyochipuka kutokea 1992 ikiwemo CHADEMA vilianzishwa kwa malengo tofauti. Initially, kwa mtazamo wangu CDM ilianza kama SACCOS yenye malengo ya ruzuku.
Kwa sasa imekuwa taasisi kubwa, waasisi wanatakiwa wafahamu kuwa hawawezi kuwa na umiliki wa chama tena kwa sasa.
Jamani ktk kitu ambacho kinanifanya nipate dhida sana na jinsi hawa maprof wetu wanavyokuwa carried away na emotions zaidi ya fikra na sheria.BAregu amekuwa controvercial km kawaida yake.This time anazidi kuwa more irresponsible kuliko watu wanavyoweza sema au fikiri.
Baada ya ile drama yake ya kuhusu Imani kwa Mungu,akaja na mpya ktk issue ya Katiba,sasa kaja na mpya tena ktk hili sakata za akina Zitto "Eti CDm wasikomae na sheria ili kukuza ustahimilivu"...napata shida kufahamu km huyu prof.anasoma public mood, thinking.watu wanahoji na kuihukumu CDM kwa kufuata sheria na uhallai wa hizo sheria kuliko kawaida.Halafu prof.anataka watu watumie emotions kwa watu ambao hawapo honest km akina Zitto ,CCM na mashabiki wa udini,ukanda na vitu vingine...
Hivi prof keshajiuliza km km Zitto angepata mahali pa kutumia sheria kuthibitisha kaonewa hata km ni kweli alikosa...angeiacha kutumia at the detriments of the party?Napat shida kuona ile sense ya responsibility km prof kaiweka kichwani vyema.Otherwise nilichokisoma ktk magazeti si kilichotoka kwake.Napta taabu sana.Kwanini anadhanini sahihi na salama CDM kucheza na emotion just because wanataka uvumilivu...then siku nyingine watakuwa na sababua gani ya kuwahukumu wengine ambao watafanya makosa kwa njia hizohizo ila madhara yake ni makubwa zaidi na yanayoendelea..?kwanini akaribishe mazingira ya double standards?
mkuu hebu edit title yako
sometimes huw anajiuliza kwanini maprof wa TZ ukiwapima ktk totality of lige hawawezi jitawala sana.Nafikia mahali pa kuona si dili sana mimi kufikia itwa prof...kwani ni takuwa useful .i.d.i.o.t km wenzetu.Mimi simwelewi kabisa huyu prof. kuna wakati mpaka nikafikiri kuwa labda yeye ndie M2 ! Hebu angalia kwa mfano hii statement aliyosema hapa chini :
Kinachotakiwa kufanywa ni kuwatangazia wanachama misingi, taratibu na kanuni za kuzingatia katika harakati zao ili
kuondoa hali ya watu kufanya mambo kwa kificho,
Hivi huyu prof. hajui kwamba waliofanya hicho kitendo sio wanachama wa kawaida bali ni viongozi ambao si tu kwamba wanajua hizo taratibu na kanuni, bali walishiriki kuzitengeneza !. Uongozi wa Chadema utafanya kosa kubwa sana wakikubaliana na ushauri wa kipuuzi wa prof. Baregu na kumuacha Zitto ! It will cost Chadema dearly in the very near future.
Amenikera sana Prof.Baregu.
binafsi nina mpango wa ku sue chadema wa kushindwa kusimamia maamuzi yake yenyewe yanayotoka vikao mwao kwa ajili ya kutaka kuwasikiliza ma ccm ambao wametoka left and right kumtetea zitto. swali kwa mwesiga ni kwanini mawazo hayo anayoyaita mazuri hakuyatoa kwy kikao ambacho yeye aliudhuria ?? na kama aliyatoa hayakusilikizwa basi lazima twende na maamuzi ya vikao kwani kila siku tumekuwa tukiambiwa kuzingatia vikao na kuheshimu maamuzi ya vikao
chadema mantuzingua.tunasubiri hizo siku kumi na nnnnnnnne. {14} kama mnamtimua au la watnzania tujue cha kufany na chama chenu cha uchaga.