Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....

hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....

Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
Hivi hoja hapa ni neno dhaifu au bunge kushindwa kuisimamia serikali?hivi kweli bunge letu linafanya kazi vizuri?
 
Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....

hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....

Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
Wewe unanjaa na unawasiwasi nahuna uhakika na maisha nambaya zaidi unahofu na elimu yake.

Muache assad aitwe Prof

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Wabunge wengi pamoja na wewe wameshindwa kung'amua wajibu wa CAG km taasisi kuwa ni jicho lao linalowaongoza ktk masuala mtambuka juu ya usimamizi wa fedha kwa maana kanu

Bunge linaisimamia serikali katika sura pana, lkn unapozungumzia masuala ya utawala wa rasilimali fedha CAG ndiyo taasisi inayoi- alert Bunge juu ya mapungufu, ukiukwaji wa sheria, taratibu, miongozo ambayo imewekwa aidha na serikali au standard za kimataifa juu ya usimamizi wa masuala hayo ya rasilimali fedha.

Kwa kifupi no km Bunge limenyofoa Jicho lake ambalo lilikuwa linawezesha kuiona serikali na kuisimamia ktk masula ya rasilimali fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Povu la masika!!
 
Analinda profession; siyo 'professional'! 'Professional ni adjective; where is your noun?
 
Mkuu huyo mzee ana dharau,majivuno na kiburi sana..baada ya maamuz ya bunge akaenda kuharisha tena TBC, huku akipewa kick na wanasiasa uchwara na wachambuzi wasio na akli na wnye chuki na spika...CAG amefanya counter offensive moja kali sana kwa kauli yake hyo....mda wake unaisha mwez wa 11 na ndo itakuwa exit door...
Maisha ya Mussa Assad ni zaidi ya u-CAG, mtu mwenye CV ndefu km yy hata huo uCAG ni kupoteza muda ku deal na watu design ya kina msukuma!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo sio mzima mnaongozwa na mahaba kuliko utaratibu..ni kweli bunge ni dhaifu ila kwa status ya CAG hakutakiwa kuongea hvyo publicly, labda kama angesema aliongea hvyo kama raia wa kawaida na sio CAG, na hiyo isingeleta maana kwa sababu alihojiwa kama CAG...

Tafsri ya kile alichokisema ni kuwa bunge linatakiwa lifanye kama yey anavyoona vyema likifanya tofaut basi bunge halifai, na bunge haliwez kufanya kazi kwa hofu ya mtu...weka ushabiki wa kisiasa pembeni uone huyo Assad alivyoharibu pakubwa kwa kuropoka kweny media...Tumia angalau robo ya ubongo wako kufkri
Mkuu nadhani shida ni uelewa wetu.tumesoma ila hatujaelimika .Kama kumbukumbu zangu ziko sawa Prof hakusema bunge ni dhaifu bali alijibu swali aliloulizwa lilihusu madudu na ufisadi anaouibuwa Kila mwaka kutokushughulikiwa.na Kama nakumbuka vizuri alisema hivi,Kama hayo madudu hayashughulikiwi basi itakuwa ni udhaifu wa bunge kutofanya kazi sawa sawa. Any way ukiwa na akili Tanzania then ukaitumia kuwatumia watanzania basi lazima uishie pabaya so sishangai yanayompata Prof
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.

Mkuu mbona na ww unaonekana unataka kumtoa jiwe kwenye hii ishu?unamsafisha jiwe kiana.Hakuna jiwe he is in 100%.
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Kwa akili yako bado unaamini kuna bunge tanzania?
Nikuulize wiki hii yote ya mwanzo wamejadili jambo gani la maana kwa manufaa ya watanzania?zaidi ya mipasho kufukuza wabunge

LIKUD
FaizaFoxy
Mzee Mwanakijiji
 
Acha wavurugane wenyewe...kama wao wana meno wamuite siku moja jpm basi
 
Hii ngoma ngumu hadi wabunge wa ccm wamekua wapole...hawaelewi waegemee upande upi
 
Muombe mzazi wako akulipie ada ukasome shule. You are nothing but an idiot of the highest order!! Huna elimu.

Anayo elimu kubwa: kuandika kwa kejeli kuwa CAG analinda "professional"! Siyo haba.
 
Ndivyo ulivyokaririshwa na wakubwa zako?
Pole sana mkuu
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hii serikali jamani.. hapana kwa kweli. Too much sasa.
 
Wabunge wengi pamoja na wewe wameshindwa kung'amua wajibu wa CAG km taasisi kuwa ni jicho lao linalowaongoza ktk masuala mtambuka juu ya usimamizi wa fedha kwa maana kanu

Bunge linaisimamia serikali katika sura pana, lkn unapozungumzia masuala ya utawala wa rasilimali fedha CAG ndiyo taasisi inayoi- alert Bunge juu ya mapungufu, ukiukwaji wa sheria, taratibu, miongozo ambayo imewekwa aidha na serikali au standard za kimataifa juu ya usimamizi wa masuala hayo ya rasilimali fedha.

Kwa kifupi no km Bunge limenyofoa Jicho lake ambalo lilikuwa linawezesha kuiona serikali na kuisimamia ktk masula ya rasilimali fedha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Serikali hii haitaki kusimamiwa na taasisi yoyote; hata chama chenye serikali! Chama chenye serikali imebaki jina tu. Bahati mbaya Bunge limejisalimisha na kukubali kuacha kusimamia serikali. Sad reality.
 
Back
Top Bottom