Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Ulianza vizuri nikataka kushangaa umepata wapi akili ila ulivyomalizia ndio umedhihirisha unafiki wako wa kumsafisha Jiwe. Lile tamko limetoka na baraka zote za Jiwe. Jiwe hamtaki CAG kwasababu amelithibitishia taifa kuwa anayejifanya mzalendo ni mwizi wa fedha za umma. Alifanikiwa kunyamazisha bunge, vyombo vya habari na upinzani kwa kiasi fulani ila kwa CAG ametepeta.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmebadili upepo tena...si mlidai Assad analindwa na Katiba..mnatuletea vifungu viingi, wengine walimu failure lakn wanajifanya wanasheria na wataalam wa katiba....mlidai Assad kung'olewa ni mchakato mgumu mara mpak majaji kutoka nje na kuwe na hoja nzitto na sio hoja ya spika ambayo mnaiita hoja dhaifu 😀😀😀😀😀....ha ha ha wapinzani wa serikali bhana ni kituko kweli kweli....

Wayahudi wakiwa wamechoshwa na kodi kubwa za warumi, walimuuliza Yesu kama ni halali kulipa kodi hzo kandamizi...mana lengo lao walitaka wakiamshe (wagome) ila walitaka support ya Yesu, na Yesu akawachomea utambi, akakazia akasema wanatakiwa walipe kodi tena kwa uaminifu, na haijalishi kodi inaumiza kias gan.....

Kiuhalisia Assad hana uelewano mzur na Jiwe, pamoja na Ndugai, ila walikuwa wanamuotea pa kumpigia ....alivyo boya akaingia mkenge. amewatengenezea uchochoro na hapo hapo ndo wanamchomea, ameanza wao wanamaliza.....unalitukana bunge tukufu kuwa ni dhaifu..alafu badae unwapelekea Ripoti yako ili waijadili, 😁😁😁😁😁😁
Ingekuwa ni rahisi hivyo angeondolewa baada ya kuanika wizi wa 2.4T uliofanywa na serikali ya Jiwe.
Na hata hiyo kauli japokuwa ni ukweli wangeitumia kumuondoa,
Wanachofanya ni kumshinikiza ajiuzulu mwenyewe ila kwa kuwa wewe ni kilaza huwezi elewa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Jibu ndiyo ama hapana Je bunge la JMT ni dhaifu?

Halafu watu wapumbavu kweli kuna siri gani katika matumizi yasiyo rasmi ya JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
UOGA UOGA UNATUUA WATz
 
Bunge ni dhaifu ama sio dhaifu?
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na utambue pia hakuna muhimili upo juu ya CAG.
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG ni mtoo uleee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haugusiki kirahisi labda kama Jamaa awe dictator ilaa akifata sheriaa aiseee moto unaweza waka mkubwa zaidi ya huu uliopoo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Enzi za kikwete aliwahi kuitwa Dhaifu bungeni,,,na mambo yakawa Murua tu.Hapa tatizo lilianza kwenye zile buku jero zilizopotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Magufuli mhimili mmoja wa dola (excutive) haufwati katiba unategemea mihimili mingine ifanye nini? Bila shaka magufuli anafurahishwa na kinachoendelea na wala hashangazwi kama we mtoa mada unavyodai. Maana hata hio barua hapo juu inajjielezea.
 
Back
Top Bottom