Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Sio bure kuna wizi mkubwa sana kuzidi ule wa tilioni 2.4 uliofanyika , sasa shetani anataka kuficha kwa kumuondoa CAG kimizengwe .
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Umeamua kumsafisha Magu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi hii tumezoea kunyenyekeane pale mtu mkubwa anapoharibu, wewe upo na kampuni yako umeniajiri mimi nikague mahesabu nimekagua na kuleta ripoti ya uoza uliopo, wewe hutaki kuchukua hatua unaibania ripoti. Lazima nitakwita dhaifu tu hakuna msamiati mwengine hapo. Mimi ninalinda taaluma yangu na kulinda CV yangu. Watanzania bana eti ooo Assad kiburi, sasa mlitaka anyenyekeee aombe radhi wakati kaongea ukweli? call a spade SPADE not a big spoon, Eti kwa ukubwa wa ofisi yake hakupaswa kuongea vile.... mlitaka akae kimyaa? Ahhhhh!!! come on people!!! Mbona mkulu anaongea maneno makali daily haambiwi akae kimya??? Aiseee!!!

🤷‍♀️ Kabisa jamani
 
Mkuu nadhani shida ni uelewa wetu.tumesoma ila hatujaelimika .Kama kumbukumbu zangu ziko sawa Prof hakusema bunge ni dhaifu bali alijibu swali aliloulizwa lilihusu madudu na ufisadi anaouibuwa Kila mwaka kutokushughulikiwa.na Kama nakumbuka vizuri alisema hivi,Kama hayo madudu hayashughulikiwi basi itakuwa ni udhaifu wa bunge kutofanya kazi sawa sawa. Any way ukiwa na akili Tanzania then ukaitumia kuwatumia watanzania basi lazima uishie pabaya so sishangai yanayompata Prof

Issue siyo hiyo kauli ya udhaifu. Yaelekea kuna watu walishamchoka CAG na walikuwa wakitega masikio na macho kusubiri upenyo. Kinachogomba ni kwambà these people have long stopped being rational. Walitaka jambo Leo wamepata kwa njia yoyote ile hata ikiwa haramu na batili kisheria.
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Yaani wewe dada sijui umeishia darasa la pili B. Hebu soma tena ulichoandika!
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Duuh ..Mseveni alicheza na serikali ya Yusuph Rule ,Algeria raia wamecheza na serikali mpaka mkuu akasema anangatuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya Mussa Assad ni zaidi ya u-CAG, mtu mwenye CV ndefu km yy hata huo uCAG ni kupoteza muda ku deal na watu design ya kina msukuma!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata kama ana elimu kias gan hyo haiondoi umuhimu wa maadili katika utendaji kazi..hata kama ofisi yake ni kubwa kias gan, busara lazima itumike kwenye uongozi....Naamini kabisa alichokisema CAG alijua bunge litareact , ila alifanya tu kiburi ili kuwaweka bunge under his pocket...na alijua kabisa kwa vyovyote vile lazima issue itaboom ....katika mazingira haya alikosa Busara..kama anataka agombee uraisi aseme tumpangie chama
 
Najaribu kumuelewa mleta mada kwamba Rais hana mkono kwenye hili maana kama angekuwa ana lolote hata hiyo ripoti asingeipokea.
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Mwaafaa,ukimwi kwenu,ngono kwenu sasa na tetemeko kwenu...mnajitetemesha na kusukuma nyumba zenu.Hizi ni kauli za kishujaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Hili bunge hopeless ndo una hangaika nalo hivi???...
 
Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....

hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....

Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
Na kama bunge nalo lingekaa kimya haya yote yasingetokea, mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serikali kazi kubwa aliyoifanya kuweza kuja na repoti yake baada ya kumshukuru mnamletea zengwe, anaomba mahojiano yake na kamati ya maadili muiweke hadhari watu waione, kwani sasa hivi kuna shutuma za upande mmoja au bora raisi aunde tume ya uchunguzi ukweli ujulikane. Naona CAG hajakubali kucheza ngoma yenu mnataka kumng'oa na kumuweka mwenye kufuata matakwa ya mtu na si katiba ya nchi.
 
Bunge ni tukufu wew...huwez tukana bunge ukaachwa hvi hv...hata ukitaka utawale nchi vizur lazima ukabe bunge kwanza..ndo mhimili wenye nguvu sana kikatiba...hata raisi akitukana bunge lina uwezo wa kupiga kura ya kutokuwa na imani naye na mambo yakaenda mjarabu, ni kweli bunge ni dhaifu ila kwa status ya CAG hakutakiwa kutukana live vile...lazma tu issue ingeerupt...tatizo watu ni chuki tu kwa serikali na ndo mana kila issue inayotokea against JPM wanaishadadia bila kujali mistake zilizofanyika ....hata hvyo wahusika wakuu huwa wanaishia kuangukia pua huku mashabiki wao wakiwa hawana msaada wwte
 
Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.
HAYA KADAKE BUKU 7 YAKO FASTA
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Spika anapambana CAG how? B4 CAG spika hakuwahi kushughulika na yeyote alielisema vibaya bunge?

Mnampa CAG ukubwa asiokuwa nao?

Hivi bunge likiamua kuua hoja za CAG zitakuwa na nguvu yoyote?

Mbunge linapokea ripoti linawasilisha zenu linaua mjadala kina Zitto wanakimbiakimbia koridoni na vijimaneno vyao ooh ufisadiufisadi wanachoka mambo yanakishwa huyo CAG atafanya nini?

Round ijayo bunge na serikali hawampitishii bajeti ama wanampa bajeti ndogo Sana, hapati sapoti utamsikia?

Bunge pia lina nguvu yake mezeni maneno.
 
Back
Top Bottom