Ukweli mchungu bunge la ndugai ni dhaifu!Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....
hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....
Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
Sent using Jamii Forums mobile app