Bunge halina utukufu, kwa kuwa watu hawajui kutumia maneno ya kiswahili ndiyo matatizo yake, tujifunze kiswahili kwanza, tuna udhaifu wa lugha, udhaifu wa kufikiri na udhaifu wa maamuzi pia.Bunge ni tukufu wew...huwez tukana bunge ukaachwa hvi hv...hata ukitaka utawale nchi vizur lazima ukabe bunge kwanza..ndo mhimili wenye nguvu sana kikatiba...hata raisi akitukana bunge lina uwezo wa kupiga kura ya kutokuwa na imani naye na mambo yakaenda mjarabu, ni kweli bunge ni dhaifu ila kwa status ya CAG hakutakiwa kutukana live vile...lazma tu issue ingeerupt...tatizo watu ni chuki tu kwa serikali na ndo mana kila issue inayotokea against JPM wanaishadadia bila kujali mistake zilizofanyika ....hata hvyo wahusika wakuu huwa wanaishia kuangukia pua huku mashabiki wao wakiwa hawana msaada wwte