chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Wavunje tuuu tusiwe na wawakilishi mpaka 2020, kusiwe na mishahara posho wala kiinua matako!!!ni kazi rahisi kumyofoa spika kuliko CAG ,na kwa maslahi mapana ya nchi kuvunja bunge ni gharama wakati uchaguzi mkuu ni mwakani tu
Madhara yakutumika! wanaokutumia wakishapata wanachota au wakiona hawajafanikiwa sana walichotaka...dalili zinakuwa kama hizi ulizoandika so ****** ajiandae warning bell imeshaanza kugonga mtaani huku wanasema anzisha tatizo kisha limalize upate political milege na watz wengi walivyo mabwege tutarajie maandamano kila mkoa kuunga mkono juhudi dam!!!Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.
Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc
Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.
CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?
Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.
Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Naww unaamini!Ikulu imetoa barua ya kustushwa na uamuzi wa Mgogo, naona inasambaa mitandaoni
Wacha wee aisee..kwaio mnamng'oa CAG ..Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Iyo siri nzito iko wapi? Mnajipaka matope halafu mnatumia maji ya ukoko ukijisafisa na visa vyenu fake.Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.
Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc
Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.
CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?
Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.
Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Wewe ndo sio mzima mnaongozwa na mahaba kuliko utaratibu..ni kweli bunge ni dhaifu ila kwa status ya CAG hakutakiwa kuongea hvyo publicly, labda kama angesema aliongea hvyo kama raia wa kawaida na sio CAG, na hiyo isingeleta maana kwa sababu alihojiwa kama CAG...Kwani bunge siyo dhaifu? Bunge la wabunge wa ndiyo mzee,bunge lisiloweza kuisimamia serikali! Bunge linalopitisha miswada ya hovyohovyo kandamizi. We jamaa utakuwa si mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
unasom darasa la ngapi, dadaAcha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Kwaio Hana tatizo lingine ni hilo tuuu..so ripoti zingine zote ni za ukweli juu ya ubadhirifu wa pesa za umma wa matrilioni ya shillingsTatizo la CAG ni kiburi na majigambo na kudharau wabunge kwa sababu yeye ni Prof
Kwani ni uongo bunge si dhaifu tena dhaifu sana yaaan Hanna kitu kabisa tuache kutetea ujinga wa bunge ukweli unauma sanaSijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
hakujipelek TBC ndio walimtafuta ulitaka hawakatalieMkuu huyo mzee ana dharau,majivuno na kiburi sana..baada ya maamuz ya bunge akaenda kuharisha tena TBC, huku akipewa kick na wanasiasa uchwara na wachambuzi wasio na akli na wnye chuki na spika...CAG amefanya counter offensive moja kali sana kwa kauli yake hyo....mda wake unaisha mwez wa 11 na ndo itakuwa exit door...
This whore is always stupid.Are you always this stupid or is today a special occasion?
ili uwe hakimu mzuri unahitaji kujua ukweli kutoka pande zote mbili(za mgogoro).Kwenye hili ni kamati ya bunge ndo imesema kuwa Assad ana kiburi ,dharau n.k!Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Naomba msaada Bosi wangu...swali langu lijibiwe please pamoja na kiburi cha Prof. AssadTatizo la CAG ni kiburi na majigambo na kudharau wabunge kwa sababu yeye ni Prof
Kamati haijasema kuwa jamaa anakibri lakini kitendo cha kusema ataendelea kuitumia ile kauli ya kuliita Bunge ni dhaifu ni mbaya sana.ili uwe hakimu mzuri unahitaji kujua ukweli kutoka pande zote mbili(za mgogoro).Kwenye hili ni kamati ya bunge ndo imesema kuwa Assad ana kiburi ,dharau n.k!
Sent using Jamii Forums mobile app
CAG alisema hansad zake ziwekwe hadharani ili kila Mwenye akili timamu ajue amehojiwa nini na amejibu nini. Sasa kwa muktadha huo huwezi sema alirudia kauli iyo iyo. Kuna kitu tunafichwa na kamati hapa.Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.