Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Sina uhakika kuwa unajua umewahi kusoma taarifa ya ukaguzi wa mahesabu. Maneno aliyotumia Prof. kwenye ripotizakeni maneno ya kawaida kabisa na yametumiwasiku zote na watangulizi wake. Nenoudhaifu huwezi kulikosa katika ripoti yoyote ya ukaguzi hasakwenye taasisi za serikali. Maneno kama hayo au yanayofanana na piayametumika katika ripoti za PPRA as recent aslast year mwishoni walipo toa ripoti zao. Kuyaona maneno hayo kwa mtazamo wenu na baadhi ya wabunge hasa wakijani ni tatizona sio la CAG. Approach inayotumika ku address issue hiini vita mpya inayokwamisha uwajibikaji wa serikali kwa bunge.Na ni mbolea nzuri sana kwa ufisadi.