Prof. Assad ameonewa. Siri ni nzito, tuwe kimya tu

Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Wewe una akili kuliko CAG Asad? Kusanya ccm wote + com hamfikii hata robo ya akili ya CAG ndio maana anawaburuza atakavyo.
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Mabaraza mengine bora yangeachiwa wanaume na wanawake wenye akili badala ya kila mwenye kujua kusoma na kuandika
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Ni kwanini zamu hii ripoti ya CAG, imekabidhiwa kwa rais kimya kimya tofauti na miaka yote huko nyuma?? Na baada ya muda ndio linakuja tokea hilo? La bunge la ccm kumkataa? Hapo wenye akili wanajua tu kuwa lazima kuna kitu hata jumba jeupe wanakijua!!
 
Co kwa mahaba hayo umemzid mpk fist lady
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Halafu ripoti zote za ile kamati zinapatikana na huwa zinawekwa kwenye mtandao wa bunge
 
Ukiwa msomi lazma ucmamie unachokiamn yule c slowslow,bashiru wala kabundi ambao baada ya kupata vyeo tu wamegeuka kauli zao
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ambazo sijazithibitisha. Prof Assad anaonewa tena wanao muonea sio kwa masilahi ya Taifa ila wanayo yajuwa wao.

Pia watu wanasema kuwa spika anamtega Rais ila kama tunavyo juwa Rais ni taasisi hawezi kukurupuka kumuwajibisha CAG maana kama ilivyo semwa hapo awali italeta mtikisiko mkubwa sana wakikatiba hivyo Mh Rais anatumia kila uwezo alio nao pasipo kushawishi Bunge kuacha jambo hili lipite nalo ila watakutana kwenye kamati za cc

Wapo watu wanasema Rais amsimamishe kiukweli watunga katiba walikuwa makin sana wakijuwa kuna siku litaibuka bunge kama la sasa kutaka kufanya mambo yao. Sasa ili Rais amsimamishe kuna takiwa kuwe na hoja ila hoja nzito sio hoja hii nyepesi ya spika. Wenye mamlaka wanauliza tusi au neno dhaifu maana yake nini na hapo ndipo bunge limeonekana kuchemka. Pia mchakato wakumuondoa CAG sio wakitoto maana wanatakiwa majaji wa nne walio iva kufanya uchunguz na sio kama zao za bunge sasa kiukweli kabisa kama rais akiunda hiyo Tume upo uwezekano mkubwa Prof akasafishwa jambo litaleta dowa baya sana kwa serikali na ndio maana wenye akili wanahepa maamuz ya bunge kwasababu azimio walilo litoa litawatafuna wenyewe take from me.

CAG ni mtu hatari sana kucheza na cheo chake kwakuwa nimkono unao tafuta matumiz mabaya ya serikal mpaka bunge sasa lazima awe na kinga Labda niwaulize nani amewahi jiuliza why spika anapambana na Huyu prof? Je issue ni hii hii au kuna siri nzito?

Wapo. Watu wanaamini Mkuu ndia alie amuru bunge litekeleze haya nataka niwaambie jambo hili limemkwaza hata Rais maana anashangaa nini kinaendelea na ili kuwa mbali na mgogoro huu amewaacha wale matapishi yao wenyewe. Rais hana ugomvi Wala hana mgogoro wowote na Prof Assad. Ila watu wanajuwa tu yao.

Yote tutayajuwa niswala la Muda tu.
Mpaka Jana (7th) day hajapeleka taarifa ya CAG Bungeni

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Kama Magufuli hausiki ilikuwaje Magufuli apokee ripoti kimya kimya.?
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....

hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....

Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
 
Hivi unatumia kichwa kweli kuongea haya? Asiye na maadili ni nani? Prof? Kweli? Nadhani wewe na subwoofer wako mmechanganyikiwa,tena subwoofer ndiyo siyo mzima kabisa,anapaswa kwenda Milembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha, msio kuwa na uelewa wa mambo ndiyo mnashabikia ukosefu wa maadili na kupungukiwa kwa hekima kwa huyo Prof Assad wenu. Nyie subirini muziki toka Ikulu lazima ang'olewe huyu mkeuka maadili, kwanza anaonekana hana siri, yaani hana maadili ya kazi yake, nyie mtapiga kelele lakini serikali huwa haishikwi sharubu na huwa haichezewi kabisa hata kidogo, just be alerted mtaona maamuzi very soon. Na endeleeni kumpa kichwa maji huyo Prof wenu. Huwezi kubishana na serikali, serikali ni mfumo na mfumo una mkono mrefu sana, yaani huwezi ukalidharau bunge ukadhani eti wewe una linda professional professional gani hiyo inayoruhusu kudhihaki mhimili mkuu wa nchi????
Kwa ujinga wangu wa kuishia darasa la saba najiuliza..CAG na Bunge yupi ni serikali na yupi sio?
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
Mkuu huyo mzee ana dharau,majivuno na kiburi sana..baada ya maamuz ya bunge akaenda kuharisha tena TBC, huku akipewa kick na wanasiasa uchwara na wachambuzi wasio na akli na wnye chuki na spika...CAG amefanya counter offensive moja kali sana kwa kauli yake hyo....mda wake unaisha mwez wa 11 na ndo itakuwa exit door...
 
Aliyerikoroga ni Assad mwenyewe...alibug sana kuropoka dhidi ya taasisi kama bunge...angekaa kimya nafkr haya yote yasingetokea... Et watu fulani wapuuzi wanajifariji ni hoja dhaifu, hyo sio hoja dhaifu hata kidogo ni ukosefu mkubwa wa maadili ukizingatia na ukubwa wa ofisi kama CAG ndo kabisaa, alichoropoka kinawafanya bunge kujihisi enferior yaan kana kwamba CAG ndo mkubwa wa bunge ana uwezo wa kuwanyea atakavyojisikia, na wanachotakiwa kufanya lazima kimfurahshe CAG, huo ni uzwazwa aisee....

hakuna riport ya CAG iliyoleta msuguano huu yaan wanaohusisha sakata hili na trion 1.5 wanatakiwa wakapimwe mkojo, alichokiongea CAG kwenye media ndo matokeo yake haya na si trion 1.5 ....

Sikubaliani na mambo mengi ya JPM na Ndugai ila kwa hii issue nipo totally against CAG
Kwani bunge siyo dhaifu? Bunge la wabunge wa ndiyo mzee,bunge lisiloweza kuisimamia serikali! Bunge linalopitisha miswada ya hovyohovyo kandamizi. We jamaa utakuwa si mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikulu imetoa barua ya kustushwa na uamuzi wa Mgogo, naona inasambaa mitandaoni
1063204

Hii ndo tovuti ya ikulu, hiyo barua haipo
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.

Jamani tusimpuuze CAG unajua kwenye uhasibu kama unakagua na yale maswali ambayo unaomba majibu hayajibiwi na Bunge linashindwa kuihoji serikali. Sasa CAG anakuwa anafanya kazi gani? kama sio kutwanga maji kwenye kinu au kukinga maji kwenye chekekeche.

Ninaona kuna mambo ambayo CAG anayajua na serikali inayaju na Bunge linayajua ila hawa marafiki wawili Bunge na Rais hawafanyi ktk nafasi yao.

ILA ile Trilion 1.5 inatuuma kweli kweli. kama inaliwa alafu hakuna majibu ya kuridhisha kila kitu kinakuwa Ovyo.
 
Sijaona alipoonewa CAG binafsi, Prof kiukweli alilikosea bunge na ata wakati anahojiwa na kamati ya maadili na hadhi ya Bunge bado hakutaka kuona kama kauli yake ni mbaya alionesha dharau na kiburi bado na kusema ataendelea kuitumia kauli hii..! bado CAG amekuwa mjivuni mnoo kwa kuidharau Taasisi na Muhimili na sioni kama CAG yuko juu ya muhimili wowote kikatiba alipaswa kuwa na tahadhali juu ya kauli zake.
kwamba unaaamini bunge ni imara
 
Back
Top Bottom