List yangu ya the best 10 Hip Hop albums za muda wote

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,743
10: "The Marshall Mathers LP" 2000
Msanii: Eminem
Katika album hii tunaona mtu mpya akileta style mpya katika rap. Sometimes serious, sometimes funny, sometimes violent, sometimes controversial. Licha ya yote Eminem aliprove kubwa the best katika rhyme na kudeliver kitu tofauti na rappers wote waliowahi tokea.

9: "Doggystyle" 1993
Msanii: Snoop Dogg
Snoop katika height ya genre mpya ya g funk. Snoop alituletea style mpya rap ambayo club ilipigwa na watu kucheza. Beats za maana kutoka kwa Dr Dre na rap ya maan kutoka wa snoop dogg na style ya west coast.

8: "Enter The Wutang" 1993
Msanii: Wutang Clan
Raekwon, Rza, Ghostface killah, Method man, Ol dirty bastard na wengine. Album hii ndio iliotambulisha the best rappers wa East Coast. Kila mmoja alikuwa hot na kila mmoja alichangia the best of himself katika album hii. The combination of the best voices, rhymes and creativity ya RZA.

7: "Reasonable Doubt" 1997
Msanii: Jay Z
Baada Biggie, Jay ndio alichukua usukani wa the king of flow. Katika album hii Hov anakuja akiwa fully loaded kama the best rhymer of his generation. Ufundi katika uandishi akionganisha ufundi katika deliver flow. Album hii ndio iliomtambulisha Hov na watu kusema ndio mrithi wa biggie na tupac.

6: "Paid In Full" 1987
Msanii: Rakim na Eric B
Katika album hii ilitutambalisha katika style ya the new king of rap, Rakim. Rakim mbunifu katika rhyming na flow ambayo ilkuwa ya aina yake kwa rappers wa muda ule.

5: "Straight Outta Compton" 1988
Msaanii: N.W.A
Ice Cube, Dre, Mc Ren, Ease E na Dj Yella. Album ilikuwa stacked na the best of the best kutoka West Coast. Album hii ilikuwa ya aina yake ikitambulisha genre ya gangsta rap na kutokuwa na hofu ya kusema chochote politically. Uandishi kutoka kwa Cube, flow za Mc Ren na Ease E na production kutoka kwa Dr Dre walitengeneza a west coast masterpiece.

4: "Ready To Die" 1994
Msanii: Notorious B.I.G
Biggie akija na golden age ya hip hop. Flow ambayo hamna rapper aliomfikia, rhyming ambayo ilikuwa haipingiki na yoyote. Biggie alikuwa the best katika kukugusa katika flow yake na jinsi alivyopangilia rhymes zake. Hii album ilifanya mapinduzi ya rap katika nyanja mpya ya flow na rhyming.

3: "The Chronic" 1992
Msanii: Dr Dre
Hii ndio album ilio fanya revolution katika muziki wa Hip Hop. Cooler beats za west coast na gangsta rap. Hii ndio album ilioanzisha genre ya G funk. Dr Dre once again akionesha uwezo mkubwa katika production na rap. Watu walikuwa introduced na new style ya rap ambayo ilio kuwa a more cooler na vibing.

2: "All Eyez On Me" 1996
Msanii: Tupac
Hii ilikuwa double album na katika kila nyimbo ni hit hadi leo. Katika album hii Tupac alikuwa more energetic, explosive na katika level ambayo ilikuwa most high. Pac alitupatia flavour ya west cost, basic hip hop, love na revolutionary thougts.

1: "Illmatic" 1994
Msanii: Nas
Katika album hii Nas analeta a more cooler style of rap, beats ambazo sio zakuzoeleka katika kipindi kile na ideology mpya katika rap. Nas akiongolea maisha ya projects za Queens, ndoto na elimu. Uwezo wa kiuandishi, uwezo wa kudeliver message, uwezo wa kurhyme was like no other. Nas wa unstoppable.

884a7499fb606708a294a784e85f9298.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom