Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

Hongera kwa uzi mzuri mkuu...ila kutaja ngoma alizohusika bwana Scott bila kuitaja "Make it rain" ya Fat Joe nadhani hata yeye anasikitika.
Kitu kingine huja mention kabisa kuwa "Jigga" Jay Z aliandika wimbo wa "Still dre" kwa muda wa nusu saa tu.....
 
Yeah, sikuoingelea hiyo story nitaifanya kwenye bio ya Dr dre sidhani kama jamaa inamuhusu hiyo story. Thanks appreciate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom