Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Viagra s vidonge MKUU, mi nasema sindano Kwan maana ipi unapochomwa sindano huenda direct Kwa hormone na kuifanya mishipa iliyo kaza kurelax hapo ndo Dakika 30 zinahusika,
Sasa si uitaje hiyo sindano by the way Mimi mwenyewe ni mtu wa Afya (Daktari) na ndy nasikia kwako haya maswala ya sindano hata ukisoma muongozo wa tiba wa 2022 kwenye STG hawajataja sindano kwenye matibabu ya watu wenye hii changamoto Sasa ndy naomba unipe shule kaka au unitajie jina la hiyo dawa (Sindano).
 
sio sana kama 1st day kula nyeto😂😂nilisisimuka mpka ubongo
Nenda kule chatgpt au grok kaulize utapata majibu mengi yatakayo kusaidia.
Kikubwa unatakowa ujifunze ku postponed ejaculation mara kadha,ili upate muda wa kusugua kisawasawa mpaka utakapo ona mda wa kuachia umefika
 
Sasa si uitaje hiyo sindano by the way Mimi mwenyewe ni mtu wa Afya (Daktari) na ndy nasikia kwako haya maswala ya sindano hata ukisoma muongozo wa tiba wa 2022 kwenye STG hawajataja sindano kwenye matibabu ya watu wenye hii changamoto Sasa ndy naomba unipe shule kaka au unitajie jina la hiyo dawa (Sindano).
Toas pesa Hamna cha bure mjini
 
Mimi miaka hiyo nikiwa kwenye 19 hiv nilikua napiga bao4 kwa kuunganisha bila kuchomoa, kwenye 20's hapo nikawa napiga mbili bila kuchomoa, kwasasa napiga moja tuu la dakika 30, nguvu bado zipo sijafika 35, ila kama siku nikiwa na mood nikinywa na dompo napiga hata lisaa na sikojoi
Hata wewe una tatizo, lisaa lizima unasugua tu.
 
Kijana wewe ushajua foreplay inafanya upizi, sasa unaifanya ya nini??

We mkifika avue uchomeke, nunuq malaya huyo utakua huru nae avue no foreplay chomekq sekunde 2 shwaa , keshokeshokutwq rudia tena mara sekunde tano utazidi kupanda chati hata hizo foreplay hazitakupa shida.

Mkuu kwenye daladala huwa inakuaje, au huko uliko hampandi usafiri wa uma??
 
hahaha sijawai susiwa matako kwenye daladala mkuu afu nilipo huku hizo mambo za daladala hakuna
 
Sasa huwa unajitetea nini? Bora uwe unaingiza ila sekunde mbili chali ila hata nyaou huigusi aisee
 
🤣 sasa ukali wa nini na kulomba ujalomba mkuu?
200.gif
 
Back
Top Bottom