Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,536
- 35,046
Na viuno vyote hivyo uwe unapiga tako nusu tu 🤣🤣🤣 hayo ni matumizi mabaya ya huo mwili !Umeniona mpendwa 😎
View attachment 3475320
Na viuno vyote hivyo uwe unapiga tako nusu tu 🤣🤣🤣 hayo ni matumizi mabaya ya huo mwili !Umeniona mpendwa 😎
View attachment 3475320
yani kabla ya kichwa kuingia, wazungu mwaaaa 😅😅.. nausingizi mzito hadi udendaNa viuno vyote hivyo uwe unapiga tako nusu tu 🤣🤣🤣 hayo ni matumizi mabaya ya huo mwili !
Nakuwasha na kakibao, unalala kwa raha gani uliyonayo 🤣 au kwa kazi gani uliyofanya 🙃yani kabla ya kichwa kuingia, wazungu mwaaaa 😅😅.. nausingizi mzito hadi udenda
Hacha kushindana kuridhisha ulipotokea kijana. Fanya kiasi chake bakiza na kuifadhj nishati ya mwili wako.Wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
Kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aisee🥲.
Hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.
Naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha
Yaani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa
Tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.
Asanteni sana.
defense mechanism, ambayo wakojoa kuku style huwa ni romance ya masaa kadhaa na dekio 🤪🤪🤪🤪Nakuwasha na kakibao, unalala kwa raha gani uliyonayo 🤣 au kwa kazi gani uliyofanya 🙃
Hebu fafanua vizuridefense mechanism, ambayo wakojoa kuku style huwa ni romance ya masaa kadhaa na dekio 🤪🤪🤪🤪
🔞🔞🔞🔞⚠️Hebu fafanua vizuri
Hakuna hilo sio jibu sahihi kegel haisaidii kitu tatizo lipo kwenye Ubongo wakePole sana, anza kufanya kegel exercises for men na kama una matatizo mengine ya kiafya, kuwa serious kuyashughulikia.