Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Huwa unafanyaje Kegel?

Nishakutana na mtu kama wewe, ila baada ya jitihada akapona (atleast, akawa anaweza kuweka na anapump kwa dakika kadhaa) inahitaji uvumilivu sana mpaka kukaa sawa.
Anzisha clinic
Utajiri upo hapa
 
achana na mawazo ya papuchi kama mwezi 1, anza kupiga squat dk5-10.

ruka ruka huku miguu una inyanyua juu kuja kifuani, piga bridge legs exercise (Google uone).

*Kabla ya zoezi piga glasi ya tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7,sagia kitunguu maji 1, katia na kipande cha limao.

*Baada ya zoezi kula ndizi 2(zilizo iva), karanga mbichi, na mboga mboga uki pata na maziwa ngando sio mbaya.

*Mchana au jioni - tikiti maji kipande1, parachichi 1, ndizi, karanga mbichi, na kunywa maji ya kutosha.

Acha uoga, nyeto na kuangalia porno,usi sahau mrejesho (uki zingatia wiki 2-3 una kaa fresh).
Umepitia mengi sana janja!!
 
Kama haisimami baada ya hapo ndiyo tatizo!

Kama unamwaga halafu mashine inanyenyuka kwa wakati mf ndani ya dakika 30 sioni shida!

NB:Kuna Pre cum ambayo wanaume huwa tunapata kabla ya mshindo wenyewe,km una ukame sana unawezabaini hayo majimaji japo huwa hayaambatani na msisimko kiviiile na pipe hailali.
 
Viagra s vidonge MKUU, mi nasema sindano Kwan maana ipi unapochomwa sindano huenda direct Kwa hormone na kuifanya mishipa iliyo kaza kurelax hapo ndo Dakika 30 zinahusika,
Niliyo taja mimi ni viagra, ndio utuambie hiyo sindano sasa
 
achana na mawazo ya papuchi kama mwezi 1, anza kupiga squat dk5-10.

ruka ruka huku miguu una inyanyua juu kuja kifuani, piga bridge legs exercise (Google uone).

*Kabla ya zoezi piga glasi ya tangawizi 1, vitunguu swaumu punje 7,sagia kitunguu maji 1, katia na kipande cha limao.

*Baada ya zoezi kula ndizi 2(zilizo iva), karanga mbichi, na mboga mboga uki pata na maziwa ngando sio mbaya.

*Mchana au jioni - tikiti maji kipande1, parachichi 1, ndizi, karanga mbichi, na kunywa maji ya kutosha.

Acha uoga, nyeto na kuangalia porno,usi sahau mrejesho (uki zingatia wiki 2-3 una kaa fresh).
Safi
 
Kama hujaoa na kupiga mzigo ni mara moja moja kwa manati unatoboa miezi hata miwili hujalamba kitu lazima libido activation iwe juu sana hata demu akikukumbatia unaweza kupiga bao hiyo ni kawaida siyo ugonjwa.

Ila kama kila siku unapiga mzigo alafu bado hilo tatizo lipo hapo kweli ni ugonjwa mzee hauko sawa
asee hizi issue hazina formula. mimi binafsi hua natumia dakika 30-40 kupiga bao la kwanza haijalishi hata kama nimesex juzi au miezi mitatu iliyopita. tena nikikaa muda mrefu bila sex bas sku nikisex natumia hadi dakika 50 bao la kwanza. sijawahi kufikisha bao tatu kwa sabab hata nikipampu bao la tatu unatoka upepo tu. kwa hyo hatufanani mzee.
 
Mnatutisha wakuu Dakika 30. Mbinu tafadhali
 
wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aisee🥲.

hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.

naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha

yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa

tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.

asanteni sana.
Ulianza sex na miaka mingapi ?
 
Back
Top Bottom