Naombeni ushauri wenu wana MMU juu ya huyu binti

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
515
1,000
habari za skukuu ndugu zangu,

Moja kwa moja kwenye mada

Kwa sasa niko morogoro, nilikuja morogoro mwezi wa tisa mwaka jana,
Kama kawaida nilienda kanisani na siku hiyo ikipofika wasaa wa wageni kujitambulisha nikasimama nikajitambulisha na baada ya ibada nikaacha namba zangu za simu kwa viongozi wa kanisa(walokole huu utaratibu nafiri mnauelewa)

Basi zkapita kama siku mbili tatu, sikumoja usiku kama saa tatu ikaingia meseji kwenye simu yangu

MAMBO?

nikajibu
POA NANI?

akanijibu samahani nimekosea namba?
Basi mimi nikamuuliza kwani ww ni nani na unamtafuta nani?
akaanza kunitumia sms za utani utani mpaka nikaona kabisa huyu mtu ananijua ila ananichezea tu mi nikampotezea,
Basi kesho yake asubuhi nikaona meseji

TOKA NJE UNIONE, NIKO HAPA NJE KWAKO,

Mjeda nikafunua pazia ya dirishani kumchungulia kwanza kabla ya kutoka nje,
Lahaura 💆
Nikamuona ni yule binti mkali kabisa nilimuona kanisani na alikua anaonekana mpole sana sikutegemea kama angekua na confidence ya kunifuata mpaka kwangu,
Basi mjeda nikajikoki pale nikatoka nje kwenda kusaliniana nae
Na hapo safari yetu ya mapenzi ikaanza
Ndani ya wiki moja nilimgegeda siku sita,
Lakini cha ajabu siku moja nilishika simu yake aisee kwa haraka haraka niligungua yuko na maboyfriend si chini ya watano,
Kwakweli nilifadhaika sana kwani sikutegemea kabisa ukizingatia tayari nilikua nimeshampenda sana,
Na kikubwa zaidi kanisani kila siku yumo, mafundisho yumo,
Dah ilibidi nijifanye kama sijui nikaenda nae hvo hvo
Yeye ananipenda sana na mara nyingi anakuja kwangu ananipikia kaz anafanya na anarudi kwao,

Kiukweli mimi nimeshampenda na satak kumuacha na tumeshahaidiana kuoana

Sasa cha ajabu leo nilikua nae na nimeshiriki nae tendo la.ndoa lakini baada ya kumaliza akapogiwa simu na mtu aliyekua amemsevu ONLY YOU
alipopokea hyo simu, akamuambia ampigie baadae
Niligombezana nae juu ya hyo simu mpaka tumekorofishana,

Na mpaka sasa sijamtafuta tena, wakuu naombeni ushauri wenu nifanyeje na ukizingatia huyu binti ninampenda mno,

Je, nimuache kimyakimya au nimuite nimkalishe chini nizungumze nae?
Najua wengi mlioshakutana na hali hii hususa ni pale mtu unampenda sana na anakufanyia kosa kama hilo je, unachukua hatua gani,

Naomba nijibu kama wewe ndo ungekua mimi ungechukua uamuzi gani?
 
MeruA

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
1,297
2,000
Mapenzi ya watoto bwana,anyway wewe fanya vile moyo wako unavyokusukuma.
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,837
2,000
habari za skukuu ndugu zangu,

Moja kwa moja kwenye mada

Kwa sasa niko morogoro, nilikuja morogoro mwezi wa tisa mwaka jana,
Kama kawaida nilienda kanisani na siku hiyo ikipofika wasaa wa wageni kujitambulisha nikasimama nikajitambulisha na baada ya ibada nikaacha namba zangu za simu kwa viongozi wa kanisa(walokole huu utaratibu nafiri mnauelewa)

Basi zkapita kama siku mbili tatu, sikumoja usiku kama saa tatu ikaingia meseji kwenye simu yangu

MAMBO?

nikajibu
POA NANI?

akanijibu samahani nimekosea namba?
Basi mimi nikamuuliza kwani ww ni nani na unamtafuta nani?
akaanza kunitumia sms za utani utani mpaka nikaona kabisa huyu mtu ananijua ila ananichezea tu mi nikampotezea,
Basi kesho yake asubuhi nikaona meseji

TOKA NJE UNIONE, NIKO HAPA NJE KWAKO,

Mjeda nikafunua pazia ya dirishani kumchungulia kwanza kabla ya kutoka nje,
Lahaura
Nikamuona ni yule binti mkali kabisa nilimuona kanisani na alikua anaonekana mpole sana sikutegemea kama angekua na confidence ya kunifuata mpaka kwangu,
Basi mjeda nikajikoki pale nikatoka nje kwenda kusaliniana nae
Na hapo safari yetu ya mapenzi ikaanza
Ndani ya wiki moja nilimgegeda siku sita,
Lakini cha ajabu siku moja nilishika simu yake aisee kwa haraka haraka niligungua yuko na maboyfriend si chini ya watano,
Kwakweli nilifadhaika sana kwani sikutegemea kabisa ukizingatia tayari nilikua nimeshampenda sana,
Na kikubwa zaidi kanisani kila siku yumo, mafundisho yumo,
Dah ilibidi nijifanye kama sijui nikaenda nae hvo hvo
Yeye ananipenda sana na mara nyingi anakuja kwangu ananipikia kaz anafanya na anarudi kwao,

Kiukweli mimi nimeshampenda na satak kumuacha na tumeshahaidiana kuoana

Sasa cha ajabu leo nilikua nae na nimeshiriki nae tendo la.ndoa lakini baada ya kumaliza akapogiwa simu na mtu aliyekua amemsevu ONLY YOU
alipopokea hyo simu, akamuambia ampigie baadae
Niligombezana nae juu ya hyo simu mpaka tumekorofishana,

Na mpaka sasa sijamtafuta tena, wakuu naombeni ushauri wenu nifanyeje na ukizingatia huyu binti ninampenda mno,

Je, nimuache kimyakimya au nimuite nimkalishe chini nizungumze nae?
Najua wengi mlioshakutana na hali hii hususa ni pale mtu unampenda sana na anakufanyia kosa kama hilo je, unachukua hatua gani,

Naomba nijibu kama wewe ndo ungekua mimi ungechukua uamuzi gani?
Mkuu sikia achana na huyo binti tafuta mwingine.
 
francoo1

JF-Expert Member
May 28, 2014
666
500
hyo ni silent killer...anauza chin, acha kupenda kihindi wakati hapa bongo..kuku akikosea njia akaenda kwenye banda la muuza chips hua anachinjwa chap chap halafu manyoya yanafukiwa... so piga alaf pita hivi
 
hekimanyingi

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
679
1,000
Ingekuwa tunaongelewa wanyama hiyo dada ni mbwa ila yeye ni aina ile wanapata chanjo, analala pazuri na anaingia nyumba ya ibada. Mwanaume mwenye akili haupotezi muda hapo maana wapo mabinti wengi makanisa ila ni mawakala wa kuzimu. Umeshazini, hapo shetani keshajitwalia wake. Walokole mna mambo sana.
 
cheetah255

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
1,228
2,000
Hiyo ndio tabia yao mkuu wakishatoka tu kunemwa wanawashwa sana wanatafuta wanaume kwa nguvu,hao watoto wa moro nikawaida kuwa na watu hata sita tena wakizaa kila mtoto anakuwa na baba yake.
 
5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
515
1,000
Swali ni je ulimkuta na bikra kama hukumkuta nayo sasa wewe ugomvi wa nini wewe jipigie zako ukichoka basi shuka siti akalie mwingine ila kama ulimkuta na bikra basi una haki ya kuanzisha ugomvi!!
Sawa mkuu
 
5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
515
1,000
Wiki ushamfunua mara sita?? Si mchezo na ukagundua ana mahusiano na wanaume wengine watano bado kuna only you bado umekazania unampenda sana
Yaani we acha tu mapenzi haya sometime ni kama ujinga
 
Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,092
2,000
Kuna tahadhari iliyotolewa humu, kuhusu baadhi ya wanawake kuambukiza watu UKIMWI kwa makusudi kabisa,
BTW si wanawake tu wapo pia wanaume...
Be careful
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom