min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,623
Yeah , haya mambo sijui kibamia sijui nguvu za kiume ni drama tu , kama mtu anao uwezo wa kuzalisha hana tatizo la nguvu za kiume.Wapo wenye hizo changamoto, hisia zao zinakua juu sana na wanakua anxious, hata achukue msichana wa level gani bado shida iko pale pale, ni kisaikolojia zaidi.