Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aisee🥲.

hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.

naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha

yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa

tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.

asanteni sana.
Ushauri jitahidi kushiriki tendo mara Kwa mara utazoea.. na kujiamini.
Kinachokufanya kuwa hivyo ni kuchukulia tendo with high attention Kwa hiyo msisimko unakuwa juu sana.

Pia jitahidi kurelax uwapo tendoni.
Binafsi wakati nilipokuwa mdogo na naanza huo mchezo nilikuwa nashida kama Yako hakuna kilichomaliza hiyo hali kama ushauri niliokupa.
 
Uongo nao ni tatizo, hakuna mtu anaanza na kuacha kizembe, zambi inatabia ya kujiludia, utasikia shetani anakunong'oneza sikioni "Mmh! Mwanangu ile kitu ni tamu kweli, hebu ludia tena mala moja tu upate laha mzee na usiludie tena, dadeki kesho utaludia na keshokutwa hadi siku unajifia'...
nishaacha mkuu
 
wakuu natumai hamjambo wote.
Daaah hii ishakuwa hatari mpka naishiwa pawa kuhusu hilo swala la pre-mature ejaculation hali inazidi kuwa mbaya .
kama ni zoezi na piga sio haba lakini wapi hali ni ile ile wakati wa romance tu tayari nishatuwa mzigo aisee🥲.

hii hali inanisikitisha sana hata sioni umuhimu wa kukutana na demu maana utaishia kudhalilika tu umeloanisha suruli si aibu hizi wakuu.

naombeni ushauri wenu wakuu ninusurike na hii fedheha

yani unakuwa unaishia tu kula kwa macho aiseee hii kitu inanikata balaa

tafadhali naombeni ushauri wenu na kwa yeyote aliiwahi pitia changamoto kama yangu naomba anaipe mwongozo uliwezaje kukabiliana nayo.

asanteni sana.
Pole watu tunapiga mzigo adi anauliza wewe bado tu jomoni😁 anyway ushawahi piga nyeto before tena ile ya kiooo??
 
Ushauri jitahidi kushiriki tendo mara Kwa mara utazoea.. na kujiamini.
Kinachokufanya kuwa hivyo ni kuchukulia tendo with high attention Kwa hiyo msisimko unakuwa juu sana.

Pia jitahidi kurelax uwapo tendoni.
Binafsi wakati nilipokuwa mdogo na naanza huo mchezo nilikuwa nashida kama Yako hakuna kilichomaliza hiyo hali kama ushauri niliokupa.
shukran mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
Back
Top Bottom