Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Stamina ya kitandani kwa mwanaume kwa % ni inborn in nature.

Ni vile ulivyozaliwa, ila ulegevu au ukomavu wa penis ndiyo huathiriwa na vitu kama nyeto nk.

Hivyo hizo stories mnazoambianaga za mazoezi nk ni uzushi tu.
 
Kwahyo unataka kusema haiwezekani kufix hii isshu ikiwa hujazaliwa kuwa na stamina?
Kama amezaliwa ivo, haiwezekani.

Cha msingi ni awe anamimbisha tu

Mengine yasimpe stress.

Kwenye jamii kuna wanaume lukuki kitandani ni zero

Ila wana familia na watoto.
 
Mtoa mada wasikudanganye kwamba ni kawaida.. tafuta solution
Hawa wanaokudanganya huko makwao wanazipiga mpk zinanukia mshikaki
Acha kumdanganya Tony Tako Tatu (3T) tupo hvo hvo sec 2 nyingi, hayo mambo kuna factor nyingi hali ya kiuchumi, style ya kutafunia, mazingira ya show, mindset, hali ya kiafya, uzoefu kazini & kwa rare cases inatokea kwenye kuna mdada ukiwa nae mwili unakua energetic sana unaweza piga muda mrefu.
 
Kuna vitu viwili zingatia, Hilo tatizo linaisha fasta:
- asali nyuki wadogo + kitunguu swaumu+tangawizi+mdalasini India+habbat soda. Chnganya pamoja hivyo vitu alafu saga kwa Brenda, kunywa vijiko vitatu asubuhi na jioni. Baada ya wiki mbili unapona

- Kegel, haya ni mazoezi ya viungo. Fanya kila asubuhi na jioni. Kwa wiki mbili tu utapona

Ikiwa utafanya hayo na bado tatizo litaendelea basi rudisha hizo mbupu zetu makao makuu
 
Back
Top Bottom