min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,622
Ndivyo ilivyo kama unaweza mpatia mwanamke mimba wewe hauna shida ya nguvu za kiume, hayo mambo ya tako tano ni kutafuta njia za kufix matatizo ya walioshindikana .aiseee
Ndivyo ilivyo kama unaweza mpatia mwanamke mimba wewe hauna shida ya nguvu za kiume, hayo mambo ya tako tano ni kutafuta njia za kufix matatizo ya walioshindikana .aiseee
nielekeze namna bora ya ufanyaji labda nakosea napga squart prank na zingineHuwa unafanyaje Kegel?
Nishakutana na mtu kama wewe, ila baada ya jitihada akapona (atleast, akawa anaweza kuweka na anapump kwa dakika kadhaa) inahitaji uvumilivu sana mpaka kukaa sawa.
daaah so powa aiseeKwenye uzi kama huu ndipo utagundua wanaume wa bongo walivyo na ushirikiano, upendo na umoja, humu wapo radhi hata kumchangia jamaa aende India akatibiwe ili kusudi tu azagamue vizuri...
Mkuu tatizo kubwa ni kuwa hujawahi kuwa na mwanamke ukamaliza hisia zako na unakamia game.aisee yani kila nikikutana na demu mambo huwa ivyo kiss na kumtosa najikuta tayari nishamwaga
Baadae ukamuacha kisa hakuridhishi?Huwa unafanyaje Kegel?
Nishakutana na mtu kama wewe, ila baada ya jitihada akapona (atleast, akawa anaweza kuweka na anapump kwa dakika kadhaa) inahitaji uvumilivu sana mpaka kukaa sawa.
kwa mazingira niliyopo sina access hiyo yw kushinda naeMkuu tatizo kubwa ni kuwa hujawahi kuwa na mwanamke ukamaliza hisia zako na unakamia game.
Kaa na mwanamke hata wiki ushinde nayo na kuamka nayo, hilo tatizo litaisha
Hivi mwanaume ye kegel anafanyajeHuwa unafanyaje Kegel?
Nishakutana na mtu kama wewe, ila baada ya jitihada akapona (atleast, akawa anaweza kuweka na anapump kwa dakika kadhaa) inahitaji uvumilivu sana mpaka kukaa sawa.
inasimama yeahp kuhusu chaputa nimepitaswali la mwisho mkuu, huwa inasimama?? au unamwaga ikiwa imelala
je umewahi kuwa member mzuri wa chaputa?
Akili kubwaWanaune wote tupo hivo hivo, kwa hiyo upo salama usiogope mpuuzi wewe.
NRNE
Chaputa wala haina uhusiano watu wachaputa wanaweza piga t,ko hata 200 na wasi ejaculate, wewe hauna shida kabisa tatizo lako lipo akilini tuinasimama yeahp kuhusu chaputa nimepita
kama inasimama bas huna tatizo kubwa, ni ishu ya mindset yako tu...fuata ushauri wa wadau kwamba ukae na huyo mwanamke kama wiki nzima uichape tatizo lako litaishainasimama yeahp kuhusu chaputa nimepita
Napinga ndugu mheshimiwaMtoa mada wasikudanganye kwamba ni kawaida.. tafuta solution
Hawa wanaokudanganya huko makwao wanazipiga mpk zinanukia mshikaki
Safi sanakama inasimama bas huna tatizo kubwa, ni ishu ya mindset yako tu...fuata ushauri wa wadau kwamba ukae na huyo mwanamke kama wiki nzima uichape tatizo lako litaisha
Wanabana na wao misuli kama wanajizuia kukojoa na kuachia kama sie tu ila wao inakua ya dyudyu 😅!Hivi mwanaume ye kegel anafanyaje
Ah ya kikeni naijua 😌
We Depal unatak atafute vumbi la congo?? Utamchanganya huu huyu ana pressure tu anatakiwa kuacha paparaMtoa mada wasikudanganye kwamba ni kawaida.. tafuta solution
Hawa wanaokudanganya huko makwao wanazipiga mpk zinanukia mshikaki
mkuu ingia youtube mbona madini yote yapo hukoHivi mwanaume ye kegel anafanyaje
Ah ya kikeni naijua 😌