Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Pre-mature ejaculation inanitesa wakuu naombeni ushauri wenu

Funguka wazi kwamba UNAJICHUKULIA SHERIA MKONONI tujue wazi jinsi ya kukusaidia, siyo unazunguka tu kama Max Mzee wa Kiringe anapiga chenga mabeki wa Simba atupie shuti wavuni...
 
Kula ushibe kisawasa, kula matunda na mboga za majani. Ukipata ahadi ya kwenda kunyandua kula machungwa, machungwa husaidia kuchelewa kupiga bao huku mnara ukiwa umesimama vema
 
kwani mkuu kegel inakuaje hasa kubana mkojo pekee au kuna mengine
IMG-20250918-WA0185.jpg
 
Mimi miaka hiyo nikiwa kwenye 19 hiv nilikua napiga bao4 kwa kuunganisha bila kuchomoa, kwenye 20's hapo nikawa napiga mbili bila kuchomoa, kwasasa napiga moja tuu la dakika 30, nguvu bado zipo sijafika 35, ila kama siku nikiwa na mood nikinywa na dompo napiga hata lisaa na sikojoi
Lipia tangazo
 
Kula machungwa wewe, utapiga shoo vema mpaka utamke asante kwa huyo demu wako
 
kitambi cha wapi bwashee uzoto enyewe nazo 60kg afu bwashee ndio nipo 21yrs
Duh pole sana maana yake umezaliwa 2004 , nenda hospital umweleze mtaalamu wa afya bila kuficha atakupatie usaidizi huenda ni tatizo la hormone
 
Duniani kuna magonjwa mengi sana aisee! Nashukuru Mungu napiga mpini safi. Pole sana mzee, hit the gym man.
 
Inawezekana umeathirika na punyeto kiasi kwamba msisimko umepungua kwa mtu mwenye Afya nzuri asipofanya mapenzi muda mrefu na asifanye michezo michafu ya punyeto ni lazima atamwaga mapema maana sexual arousal inakua juu.

Kwahiyo acha punyeto.
nimepiga punyeto 2014-2019.
sjawah tena, na hua nakaaga hata miezi mi3 bila sex na wala sipigi nyeto.
 
Duh pole sana maana yake umezaliwa 2004 , nenda hospital umweleze mtaalamu wa afya bila kuficha atakupatie usaidizi huenda ni tatizo la hormone
daaah inanikata sana hii hali mkuu nahisi ni kweli kutakuwa na shida kwenye mfumo wa hormone sana sana iyo uliyoisema serotonin
 
Uongo nao ni tatizo, hakuna mtu anaanza na kuacha kizembe, zambi inatabia ya kujiludia, utasikia shetani anakunong'oneza sikioni "Mmh! Mwanangu ile kitu ni tamu kweli, hebu ludia tena mala moja tu upate laha mzee na usiludie tena, dadeki kesho utaludia na keshokutwa hadi siku unajifia'...
 
Duniani kuna magonjwa mengi sana aisee! Nashukuru Mungu napiga mpini safi. Pole sana mzee, hit the gym man.
asikwambia mtu hii hali so powa mkuu inakata kishenzi day changamoto hii ikiisha daaah nitakuwa na amani kinoma
 
Back
Top Bottom