Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
elimu yangu ya mikopo ni ndogo saaaaana ila ninachojua ni kwamba collateral ya mkopo bank kama si mali isiyohamishika basi ni prove ya mshahara (sio posho) wako ambao wao wana-centre kwenye Pension yako ndio maana hata ukiwa mfanyakazi unapata mshahara wa 100Million/month kama hukatwi pension hukopeshwi (NMB na CRDB) so nakataa kwamba posho inayozungumziwa na wapinzani (sio CDM pekee) eti ndio collateral ya mikopo yao benki.
Mkuu unafikili hawapendi kusoma wanasoma sana ila tatizo wanasoma nini!?Mama Madabida ni Kihiyo. Hajui ni Lini ILANI ya CHADEMA iliandikwa na ni lini MPANGO wa MAENDELEO UMEANDIKWA ndio maana siwapendi Wabunge wa CCM kwa sababu hawapendi kujisomea
Nimeikuta kwenye facebook status ya Dr W.slaa.
"suala la Posho serikali haina la kujitetea maslahi ya Taifa kwanza kwa maendeleo ya watanzania wote"
Kwa hiyo, Rais kupitia mpango wa taifa wa maendeleo anataka posho ziondolowe, chama tawala (ccm) kupitia kwa katibu wake mwenezi nacho kinakubaliana na hoja ya kuondoa posho. Lakini Waziri mkuu ambaye anayesimamia shughuli za serikali kama anavyoagizwa na Rais anapingana na hoja ya posho kuondolewa. Tena anafanya hivyo mbele ya chombo cha kutunga sheria sehemu ambapo sheria ya kufuta posho ingeweza kupitishwa. Sasa, Waziri mkuu anamuakilisha nani? How can he lead when he does not agree with the government policy. His position as Prime Minister in my view is unattainable. Anatakiwa ajiuzulu maana hana dhamira ya kweli ya kusimamia utekelezaji wa mipango ya serikali.
Nimeikuta kwenye facebook status ya Dr W.slaa.
"suala la Posho serikali haina la kujitetea maslahi ya Taifa kwanza kwa maendeleo ya watanzania wote"
ni kauli ya katibu mkuu wa chama.Hiyo ndio Official statement ya Katibu Mkuu wa CHADEMA?
Propagada za CCM nyingi hazina mantiki WAPINZANI WANANUFAIKA POSHO NA CCM WASIONUFAIKA NA POSHO HIZO WANAZIUNGA MKONO!!Na wanadai WAPINZANI wameiba hoja Yao ,Kama iliku ni hoja Yao na walikua na nia ya kuitimiza ingalikua na mantiki kuwashukuru na kuwaunga mkono kuitekeleza.VINGINEVYO NI USANII.Wako wapi wale Pro-Chadema walikuwa wanapinga eti hakuna benki inayoweza kutoa mikopo kupitia posho, LAT na wenzako mpooo???
Mkuu naomba nikurekebishe kidogo,
Sheria ya benki ya mwaka 1961, 1991, na duniani kote duty of confidentiality ends if the information inquiry is of the matter of national interest, judicial inquiry or tax purposes (with authorisation from the commissioner). Hivyo basi Daily News hawajafanya kosa lolote. Ila mie najiuliza kama mshahara wako ni kidogo kwanini ukope hela nyingi hivyo milioni 200 kwa mshahara wa 2.5 na posho ya milioni 5???? Kweli Tanzania hakuna mkombozi wala mzalendo wamejaa walafi na watu wenye njaa tu.
It is so simple. Nimekopa benki na katibu wa Bunge kama Mwajiri ndiye mdhamini. Ila sijakopa kwa kutumia posho za vikao wala posho za kujikimu. Nimekopa kwenye mshahara wangu. Wala sioni aibu kusema hili popote. Kukopa hakuna mahusiano na hoja ya kuondoa posho za vikao.Zitto, Wewe kweli umechukuwa mkopo benki na ofisi ya katibu wa bunge ndio mdhamini wako? Tunaomba utuweke sawa kwenye hili swala