Posho na Mishahara ya wabunge...

Posho na Mishahara ya wabunge...

Butola,

Nashukuru kwa pongezi zako kwa Zitto na asante kwa maoni yako mengine; tamko hilo linahusu msimamo wa pamoja unaosukuma mabadiliko ya mfumo mzima ambayo ni ya muhimu zaidi kwa taifa.

Hatahivyo; kwa kuwa umenitaka nieleze matendo mahususi ambayo binafsi nimeyafanya kuhusiana na suala la posho na malipo mengine ya wabunge nakuomba rejea majibu yangu hapa: JOHN MNYIKA: Majibu kwa Maswali yenu kuhusu POSHO

Mjadala uendelee mpaka kieleweke

JJ

@Mnyika, naomba sana sana mjitahidi ku-utulise website ya CHADEMA. Wabunge wengi wa CHADEMA mnajitahidi sana kutoa habari lakini sio coordinated au niseme kila mtu anatumia different medium of delivery. In addition to perfosonal blogs, facebook, twitter nadhani ni vizuri kama chama kuwepo na mtu mmoja (mtaalam) aweke haya matangazo kwenye official website including video clips. You need to streamline your communication approach. Kwa mfano michango yenu bungeni ingetakiwa iwekwe kwenye website yenu immidiately. In practicle terms, mtafika mahali nyinyi wabunge mtashindwa kundika kwenye hizi blogs mara kwa mara maana majukumu yatawazidi, lakini kama yupo mtu/watu maalum hii adha haitakuwepo.
 
Mmmmmh......poshooooooo
jaman twiga wanaibiwa hukooooo.....achen stori za poshooooo

Maige anafanya nini?
Bunge la budget hili, hii tabia ya kutaka mambo flani yaache ni tabia ya CCM ya 1977. sasa hivi kila kitu kinahojiwa, and this "shitting" allowance thing lazima ukomaliwe.
 
Suala la msingi ni Sheria kubadilishwa ili posho ziondolewe kama JK alivyosaini Mpango wa Maendeleo! Tusije tukafanya kama Mtoto wa Mkulima alipokataa VX halafu akija PM mwingine anatumia VX, sasa hapo kimefanyika nini wandugu? Is it not one man's show?

Mkuu, huyu Pinda huyu anachekesha sana, Anashindwa nini kuwakemea na kuweka utaratibu wa matumizi ya magari ya serikali?
Eti anajifanya kutumia GX yeye, what difference does it make? anataka kujionyesha yeye ni msafi among wachafu wenzake?
 
@Mnyika, naomba sana sana mjitahidi ku-utulise website ya CHADEMA. Wabunge wengi wa CHADEMA mnajitahidi sana kutoa habari lakini sio coordinated au niseme kila mtu anatumia different medium of delivery. In addition to perfosonal blogs, facebook, twitter nadhani ni vizuri kama chama kuwepo na mtu mmoja (mtaalam) aweke haya matangazo kwenye official website including video clips. You need to streamline your communication approach. Kwa mfano michango yenu bungeni ingetakiwa iwekwe kwenye website yenu immidiately. In practicle terms, mtafika mahali nyinyi wabunge mtashindwa kundika kwenye hizi blogs mara kwa mara maana majukumu yatawazidi, lakini kama yupo mtu/watu maalum hii adha haitakuwepo.

FJM,

Ushauri wako ni wa msingi; bado tunaendelea kuboresha mfumo wetu wa kutoa habari kupitia mtandao wa chama. Tamko la Katibu wa Wabunge kwa kuwa ni la kichama utaona kwamba ushauri wako ulishazingatiwa nililitoa kupitia tovuti ya chama: Tamko la Katibu wa Wabunge wa CHADEMA juu ya kauli za Waziri Mkuu Pinda kuhusu posho. Wakati mwingine inabidi kutoa matamko kwa njia nyingine za haraka zaidi kwa kuwa kuweka kwenye tovuti ya chama ni lazima tamko liende kwanza kwa webmanager na kuwekwa kwa manjonjo yanayohitajika.

Hata hivyo, maelezo aliyohitaji Butola yamehusu namna mimi binafsi nilivyolichukulia suala la posho; hata sijayaweka kwenye tovuti ya chama bali kwenye blogu binafsi kwa kuwa ni mtizamo na matendo binafsi ambayo si lazima yote yaakisi msimamo wa kitaasisi wa chama:JOHN MNYIKA: Majibu kwa Maswali yenu kuhusu POSHO

Yote kwa yote; ushauri wako bado ni wa muhimu kuzingatiwa zaidi

JJ
 
Maige anafanya nini?
Bunge la budget hili, hii tabia ya kutaka mambo flani yaache ni tabia ya CCM ya 1977. sasa hivi kila kitu kinahojiwa, and this "shitting" allowance thing lazima ukomaliwe.
Wabunge wakiona hapo kwenye red watazisusa hizo posho, labda wale wasio na kinyaa, hasa magamba MPs
 
WHILE some Members of Parliament from the opposition camp have asked for a review of their allowances, which they claim are colossal, it has been reliably established that the payments are actually the collateral that enabled them to secure bank loans.

‘Daily News' investigations have found that the majority of MPs, from both CCM and the Opposition, took loans ranging from 60m/- to 200m/- from CRDB and NMB banks whose final deductions would be due in 2015 when their tenure expires.

Ironically, two top CHADEMA leaders, who have been vocal and championed the debate to have MPs sitting allowances slashed, are among the biggest creditors. One has taken a 196m/- loan and another 100m/- both from CRDB Bank.

Records show that each MP (Daily News is in possession of the long list of the creditors) gets a 2,305,000/- monthly salary plus 5,115,000/- as constituency allowance, making the total deductible pay to 7,420,000,000/-.

The documents indicate that 883,000/- is deducted every month for five years to cover the 45m/- personal car loan each MP was advanced and a further 588,000/- paid as government taxes. However, the package does not cover per diem and sitting allowances which are only paid if an MP has attended Bunge sessions.


"So, the claim by the opposition MPs that they want the sitting allowances slashed is purely a publicity stunt," said an impeccable source. The source, who preferred anonymity, said that the legislators, who are beneficiaries of the bank loans whose guarantors are the office of the National Assembly, are not allowed to divert them to another account without a written consent by the three parties.

For example, a document from NMB shows that a 200m/- loan attracts a monthly deduction of 19,815,340/- if it is to be paid within one year, 10,183,540/- ( for 24 months), 7,177,760/- (36 months), 5,722,600/- (48 months) while the same package is charged 4,871,740,000/- per month in a five-year period.

When contacted for comment on Sunday, the Acting Clerk, Mr John Joel, said that bank guarantees are only given to loans whose source of income must come from payments made by the National Assembly.

"The National Assembly does not guarantee personal loans by MPs who use other collaterals apart from salaries and some other allowances," he said. On June 7, this year, Mr Zitto Kabwe Kigoma North – Chadema) wrote to the Parliament Clerk asking for a total ban on the sitting allowance, which he said was a misuse of public funds. He claimed that such allowance was uncalled for, adding that attending sessions was part of his official duties, thus not deserving to be paid.

However, he instructed the House Clerk to channel his sitting allowance through Kigoma Development Initiative (KDI) of which he is the Chairman of the Board of Trustees until a new system to permanently slash the payment has been put in place.

A number of Chadema MPs told this paper here on Friday last week that they disagreed with their fellow MP on slashing the allowances.

They said that Mr Kabwe was advancing his personal views to gain political gains while the party is heading towards picking a presidential candidate for the 2015 general elections. Last week, the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, defended the allowances paid to MPs, saying much as they were seen to be mouth-watering on paper they in actual fact only cover a small fraction of expenses the legislators are incurring to make them discharge their duties smoothly.

Meanwhile, the National Assembly session resumes here on Monday morning with a debate on the 2011/12 budget estimates.
Source; Daily News
My take:
Pamoja na hayo ni makosa makubwa benki kutoa siri za wateja kirahisi rahisi hivi. Kwa wenzetu Uswiss, si tu ni kosa kutoa taarifa bali hata kuomba taarifa you risk to be jailed!
 
Asante sana Mbunge wangu JJ kwa kutoa maelezo Muhimu ili kuweka Record sawa dhidi ya Propaganda za Chama kilee. Lakini Mheshimiwa Mbunge watu wengi wanashindwa kuyapata haya Matamko yenu kwa sasa wengi wanasikiliza Radio na Kuangalia TV ambazo nyingi zinatoa nafasi kwa Magamba Propanganist. Unaonaje Mkiwa mnatumia Media kama television na radio kufanya Hivyo au WANAWABANIA? kama tatioz na Pesa za Air time watu wako tayari kuchangia muda kwenye TV ili Taarifa Muhimu kama hii isikike na Wananchi.
 
MODs I sijui kwa nini hii thread iko kwenye habari mchanganyiko. Ingefaa kama ingepelekwa kwenye jukwaa la siasa maana inahusu tamko la kambi rasmi ya upinzani bungeni kuhusu posho/response ya waziri mkuu. Tafadhali rekebisheni hili.
Unajua maana ya neno MCHANGANYIKO?
 
Hii kali kumbe pia kuna katibu kivuli wa bunge? Hongera Mnyika maana tumezoea kuona matamko kutoka kwako na sasa ilikuwa kipindi kirefu hujatoa.
 
Hii kali kumbe pia kuna katibu kivuli wa bunge? Hongera Mnyika maana tumezoea kuona matamko kutoka kwako na sasa ilikuwa kipindi kirefu hujatoa.

Usihofu Kaka bado naendelea kuisaka dawa uliyoomba nikutafutie ya Ugonjwa Mbaya wa Kuanguka unaokusumbua. Nisamehe sijadharau PM yako ila bado sijapata dawa sahihi nikipata nitakutumia kwa njia ya DHL

Wakatabahu
 
Usihofu Kaka bado naendelea kuisaka dawa uliyoomba nikutafutie ya Ugonjwa Mbaya wa Kuanguka unaokusumbua. Nisamehe sijadharau PM yako ila bado sijapata dawa sahihi nikipata nitakutumia kwa njia ya DHL

Wakatabahu

Asante na wewe utakuwa nani vile Mganga Kivuli?
 
Kwa taarifa yako hakuna mbunge yeyote wa cdm aliyechukua posho tangu bunge hili linza wiki jana!!

Una uhakika? Nakujulisha zoezi la posho kwa wabunge wa CHADEMA
linaendelea kama kawaida na wanachukua hizo hela.
 
Mimi nashangazwa na matamko ya CHADEMA. Kila mtu anatoa tamko. Nimesoma la Mnyika linaanza na kauli ambao inaonyesha kuwa anaandika kama yeye akiwa Katibu wa Bunge wa CHADEMA na wala si Wabunge wote wa CHADEMA. Anasema ameshangazwa na siyo kwamba wameshangazwa! CHADEMA si watoe msimamo wa jumla na kama ni kukataa kusaini basi wote wasisaini ili wafukuzwe wote. Kama kweli wana dhamira ya kweli wakatae kusaini ili wafukuzwe na Watanzania tutaliona hilo lakini hili la matamko yasiyofuatana na matendo mimi naona ni ulaghai mtupu.

Angalieni CHADEMA baada ya maandamano mnageukia matamko sasa na matamko yenyewe kila mtu ana lake. Afadhali tamko la Zitto naona linafuatana na vitendo ila haya ya wengine mmhhhh!
 
Hapa ndipo panaponishawishi niwaunge mkono Chedema. Wakati wabunge wengine hasa wa chama cha magamba wakiitumia weekend hii kujirusha, chadema wanawatumikia wananchi, kwa kuhakikisha kuwa hawaibiwi kwa kisingizio chochote. Hapa mtu mzima Pinda alikusudia kupotosha umma kwa kupindisha katiba ya nchi.
Sasa majibu hayo hapo mh Pinda hangaika nayo. Hii ni homework tosha kuku keep busy weekend hee.
Omba usaidizi kwa kina Nape. Sisi umma wa watanzania tunachohitaji ni majibu ya utekelezaji wa kuondoa posho hizi haramu mara moja.
Kila la heri mh Mnyika:
Kila la heri mh Pinda, na wale wote watakaokusaidia katika hili laposho.
.
 
Back
Top Bottom