Hivi nyie hamna kazi?
Kazi tunayo ya kuandamana na kuchochea vurugu kwa wanavyuo. Leta swali jingine, jitahidi ulete maswali magumu na siyo ya paper ambayo tumesha isovu.
Hivi nyie hamna kazi?
Mkuu hv primary school ulimaliza kweli?!
hivi hawa uliowataja ni jinsia gani? kwa maana unaweza ukakuta ni chakla badala ya kuvitafuna tunazubaa kupigizana nao kelele kumbe wenzio wako kwenye hit.Great thinker msijibizane na wapinga mageuzi kama Omr,ritz,Tumain,Ms na wengine! Kufanya hivyo kunaondoa umakini ktk kujadili mstakabali wa taifa letu wa kupinga ufisadi wa ccm!!
Hivi nyie hamna kazi?
Wewe acha porojo mnataka tu kugawana pesa zetu (Ruzuku) maandamano sababu ya posho tu mbona wabunge wenu wamechukuwa milioni 90 juzi mbona mlikuwa kimya
sisi wananchi tunawashangaa sana
Polisi imeuwa majambazi wewe
Hivi nyie hamna kazi?
Hivi nyie hamna kazi?
"kifo ni ahadi aliyowekewa mwanadamu tangu kuumbwa kwake" nadhani ni wewe tu ambaye labda utaishi kama jiwe
Mbowe anasema ni msimamo wa chama, sasa ngoja tusubiri kesho itakaposomwa bajeti ya upinzani labda litagusiwa.