Mtaandamana kila siku mpaka mfe, kibano pale pale.
Hamuwajui CCM nyie kumbe!!!
Mtaandamana kila siku mpaka mfe, kibano pale pale.
Hamuwajui CCM nyie kumbe!!!
![]()
Wananchi stay tune tunaandaa Maandamano Makubwa ya Kupinga Posho na Bajeti ya Kikwete. Maelekezo yanakuja na tunawasiliana na Bavicha na organizations nyingine Dodoma na mikoa mingine. Haya Maandamano tunataka yawe tofauti na malengo ni Kuwaaibisha kikwete, Mkullo, Ndullu, Makinda na wabunge wa ccm. Umaskini wa Tanzania ndio huu nothing else ....
Kama una Ujumbe kwa Wabunge wa ccm na serikali yao ya kizembe, jiandae kwenda Dodoma na Miji mingine. Hakikisha Ujumbe Wako Unafika Bungeni na Ikulu. We need creativity here ....to send message to the world.
wakoje? mbona cuf hawakufa?Mtaandamana kila siku mpaka mfe, kibano pale pale.
Hamuwajui CCM nyie kumbe!!!
tofauti yenu na hizi nchi nyie ni WakiritoKwa hiyo una-support utumiaji wa polisi kuwaua wananchi wenzio kwa sababu ya kupinga haki zao muhimu sio? Kweli tuna wanyama Tanzania sio binadamu. Endeleeni kuwatumia hawa polisi na tukifanikiwa kuwaonyesha hawa polisi jinsi gani mnawatumia kama tools kuwaua ndugu zao, watawageuzia nyie nyie na mtakipata.who Angalia Libya, Egypt na Syria thought we would see this.
Mmmmmm..:A S 114:Kama Polisoi iliuwa majambazi mbona mlikuwa mnawapa ubani?
Jaribu kutetea hoja ya kweli.
Porojo inayo serikali yako ya CCM iliyojaa dhuruma kwa wananchi,ANGUKO LENU LIMEFIKA CCMWewe acha porojo mnataka tu kugawana pesa zetu (Ruzuku) maandamano sababu ya posho tu mbona wabunge wenu wamechukuwa milioni 90 juzi mbona mlikuwa kimya
sisi wananchi tunawashangaa sana
Polisi imeuwa majambazi wewe
Hivi nyie hamna kazi?
Kweli kuendelea kumlipa mhe kama huyu Sitting allowance bado kuna watu wanaona sawa tuu. Mshahara anakula kama kawaida kisha akifanyacho hapo nacho tukilipie? Utakuwa ujinga.View attachment 31951