Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Lengo la Mh Zitto kupendekeza kuwa sitting allowances za vikao vya bunge na mikutano mingine ya watumishi wa serikali zifutwe ni kutaka fedha hizo zikafidie katika kodi ya mafuta, ili yapungue bei.
Wamejitokeza wanafiki fulani wa CCM wanasema wanaunga mkono hoja hiyo lakini ianze na wabunge wa CDM!
Mi nasema ok, wabunge wa CDM wakubali, but kabla ya kufanya hivyo, wakae na Nkullo, wakubaliane kuwa endapo wakiziacha posho hizo, kodi ya mafuta itaondolewa, na mafuta kushuka? Lau kama hakutakuwa na badiliko significant kwa kutumia posho za CDM peke yake kufidia kushuka kwa bei ya mafuta, then nawashauri na kuwaunga mkono kuwa waendelee kuzilamba posho zao, wazilete tuandalie maandamano...