Posho na Mishahara ya wabunge...

Posho na Mishahara ya wabunge...

Wanasiasa siku zote huwa wanawafanya wananchi kuwa ni wajinga na hawana uwezo wa kufikiri. Haijalishi mwanasiasa anatokea chama gani au jimbo gani wote hutegemea umbumbumbu wetu kuwa ni mtaji wao.Si tumewasikia wakipinga posho za vikao vya bunge?wengine wamefika mbali hata kuandika barua kusema hawataki posho na wameelekeza kuwa posho zisiingie mfuko wa "shati" bali ziingizwe moja kwa moja kwenye mfuko wa "koti" kimantiki wanasema hawataki posho dhumuni likiwa kubana matumizi ya serikali sasa unapoikataa na kuelekeza ile ile posho upewe lakini kwa kutumia utaratibu mwingine ni usanii na kiini macho!

Nashangaa watu wameshindwa kuelewa hili na kulisifia! Sijui ni upovu au ni umbumbumbu wetu ndio unaotufanya tuwe hatuoni! au sijui ni "ukipenda chongo"?Tumeshuhudia posho zao wanazopeana tena huku wakikataa zisikatwe kodi ambayo itasaidia kuongeza makusanyo ya serikali. Kwa akili ya kawaida na mwenye uwezo wa kufikiri hawa wanaopiga kelel kuhusu posho tuwaulize wao wakiwa nje ya makao makuu kwa ajili ya shughuli za chama kama zile zilizozoeleka za "maandamano ya nguvu za umma" wanalipana posho kiasi gani? nusu ya hizo wanazogomea au zimezidi? au hawalipani kitu kwa kukwa wapo kwenye kazi walizopewa na chama? Kama wanalipana basi wanatafuna pia mapato yanayotokana na mlipa kodi kwani wanatumia ruzuku wanayopewa ambayo inatokana na kodi zetu!

My take:Kwa kuonyesha nia njema haitakuwa vibaya vyamka vya siasa vikaomba kupunguziwa ruzuku ili pesa nyingine zitakazobaki zikaelekezwa kwenye kufidia bajeti kuu. Najua hili litakuwa gumu sana lakini madhalan chama kina pokea 100 kikipokea 50 n a hamsini ikaelekezwa kwenye maendeleo si jambo baya na hii iapply kwa vyama vyote pamoja na chama tawala.<br><br><br>Naomba kuwakilisha.

Kwani mwizi akikiri kosa katika famili, anaambiwa ni mnafiki au assibe tena. Watu wangine tumekosa uzalendo kabisa kiasi cha kua vipofu. Walimu watu wanaolipwa 200,000 wanapata teaching allowance kwa kufundisha kwanye mazingira magumu. Zile seat za bunge letu ni too comfotable to get an allowance. Wako wafanyakazi wanaofanya kazi za hatari sana na hawapewi allowance. Trilioni moja, hela ya kujikimu, mshahara millioni 12. yote hayo unamwambia nini mkulima wa Tanzania. Eti unafiki. Rafiki!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni

Naona siku hizi Malaria imepona kabisa
 
Mada yako ingeweza kuwa kijimchango kidogo ktk thread zilizoletwa wiki nzima kuhusu posho. Kama ulikuwa hujafika jamvini muda mrefu ni bora ungepitia mada zilizokwishaletwa jf,mkuu tutazi kuleta mada ile ile mpaka lini? Ingekuwa bora mada za wiki zikapitiwa vizuri maana nimepitia kwa umakini sijaona kipya katika mada hiyo ya Posho. Siku njema.
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Posho Posho Posho

Posho kwa maendeleo ya taifa!

Posho!
 
215391_193832570661165_100001032706598_532914_4087157_n.jpg
 
Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni
Siku nyingine unapoint kweli wewe! nimekuongezea lihasante bana!
 
haya bana MS ila CCM watakusikia? Posho ndo imawepeleka huko sio ukubwa wala kusaidia wananchi ndo mana unaskia ''wanafki waseme ndiooooo'' na wao wanaitikia ndioooo
 
Ni wazi sasa Bunge limekuwa kimbilio la kila anaetaka Utajiri wa Haraka. tatizio hapa sio kutumikia wananchi au Kuonekna kama mkuu ktk Jamii bali ni kimbilio la Kutafuta posho kubwa sana huku kazi inayofanywa ni ndogo sana na haindenai na Kipato cha kazi ya yenyewe.
Ikiwa Leo Prof anaesomesha Chuo kikuu hupata Robo tu ya Posho ya Mbunge aliefika F4 au F6 ni wazi taifa linapoenda sipo.
Wabunge wawe wazalendo. waangalie maslahi ya taifa. waangalie umaskini wa Watz.
Kwa hapa naungana na Chadema na wale wote wanaotaka wabunge waondoshewe POSHO.
nchi maskini, wabunge matajiri.
hospital hakuna dawa. Wabunge wanakoga pesa.
Shule hakuna madawati. wabunge wanachota mapesa.
Walimu wanakimbia kusomesha. wabunge wanauana wanataka nafasi ya kwenda kuchota pesa bungeni.
Polisi hawana vitendea kazi. Wabunge wanaenda kuvuta mshiko mkubwa bungeni
maskini unaengezeka. wabunge wanatanua Mijengoni

Tuone kama kweli gamba lina mwelekeo wa kuvuuka, maana hapa wezi wamejiumbua, mishahara mitatu kwa kazi moja. Ruswa kwa wabunge. Rushwa ni adui wa haki. Rushwa hodhoofisha uwezo wa kufikiri. Ruswa huondoa uzalendo. Rushwa ikizidi ufisadi huzaliwa. CCM mn shida nyinyi!
 
Kama angekuwa panya tungesema kabanwa kwenye kona. Ni aibu kumsikia mtanzania anadai eti 150,000 per day, anaitetea then anasema haitoshi!! Sasa wanafunzi wanaopewa 5000 kwa siku waseme nini?
Nini mwanafunzi....na mvuja jasho anayelipwa kcc cha mshahara 135000?
 
naomba niwashukuru Zitto kabwe na chadema kwa kuanzisha muvu hii.....

posho zimekuwa ndio MOTIVATION ya watu kukimbilia mjengoni, hata asiyejua kusoma sasa anataka atinge mjengoni,

nia imekuwa ni kutafuta mtaji wa biashara....miaka mitano ikiisha hana habari hata ya kuomba tena.......na akitaka anareinvest katika uchaguzi unaofuata,,,, ndio maana si rahisi kumng'oa mbunge aliyekuwepo akitaka kuendelea......

imefanya bunge kuwa pahala pa HOVYO!! hali mbaya ya kiuchumi na kijamii ni matokeo ya bunge bovu!!!

hata huku maserekalini, wanapeana vyeo kulinda sera za CCM...

kuwa pro ccms ndio watakaokuwa sehemu ya management, wale wa chadema na cuf hapana.......na ukiishakuwa sehemu ya management poso ndio nyumbani kwake...bora Mbowe kalisema hili.......wazifute na serekalini, tuone basi motivation ya kuchaguana kichama kwenye post zenye ulaji - POSHO!!!!!!!

TUONE SASA ITAVYOKUWA ----- MWAGENI MBOGA CHADEMA TUONE WATALUMANGIA NINI UGALI!!!!!!!
 
sasa hv nadhani itabidi ifike mahali posho zipunguzwe hadi iwe ubunge ni wito kama ualimu
 
Yanapokuja maswala ya msingi katika nchi, tuweke partisan politics pembeni. Thanx MS.
 
Huyu ndo Malaria sugu wa siku zote au kuna mtu kaiba password yake?

Kama ni yeye........BIG UP! Huu ndio utaifa sasa!
 
Wewe Shossi ndo mpofu wa kufikili na kupambanua, barua ya zitto inaeleza waziwazi kuwa yeye kama MB. hastaili posho ya kukaa bungeni kwani ndio kazi yake anayofanya na kupata mshahara, na pia katamka kuwa mpaka hapo bunge litakapo futa posho lasmi kwa wabunge pesa yake hiyo ipelekwe KDI kufanya kazi za kimaendeleo kwa mkoa wake. sasa unaposema zinaingia ktk mfuko wake mwingine sikuelewi, unless leta udhibitisho kuwa KDI inamilikiwa na Zitto. tusiongee kishabiki tu jamani
 
Back
Top Bottom