Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,981
- 14,752
Waafrica bhana.
Unakosea pa kuanzia. Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha hawa ulowataja kuwa "takataka"! Definitely nao hao "takataka' ni wa kulaumiwa, wanaogopa kufia kondoo wao, wanamtukuza "katili" kuogopa kufa! Hawataki kusema ukweli walioapa kuulinda, kuufia!Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!
Umeshapanic!Unakosea pa kuanzia. Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha hawa ulowataja kuwa "takataka"! Definitely nao hao "takataka' ni wa kulaumiwa, wanaogopa kufia kondoo wao, wanamtukuza "katili" kuogopa kufa! Hawataki kusema ukweli walioapa kuulinda, kuufia!
Ajabu kweli hajasoma kwenye bible kuwa siku za mwisho kutakuwapo na vita??? Huo ni unabii lazima utimie hata kama angewabeba kichwani kile kilichotabiriwa lazima kitimie-mathayo 24:6,7
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina!Nimejifunza kuwa 'Heri wapatanishi,maana hao wataitwa wana wa MUNGU'. Mathayo 6 : 9.
Papa kafanya kwa nafasi yake. Hakusema nani mbaya au nani ana makosa..kawaonesha tu kuwa wanawajibika na RAIA na nchi yao,waache ujinga watulie wajenge Sudani yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie Jiwe abusu Miguu ya Mbowe tuone. Maana ni mwenyekiti wako pale MbogambogaNajiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.
Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!
Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
Huyo ni mtumishi wa Mungu, hao wengine ni miungu watu wanaotaka kuwa wa kwanza na kutukuzwa badala ya kuwa wa mwisho kama kama mafundisho ya injili yanavyowataka. Huyo Pengo ni kada mtiifu wa CCM ila siku zake madarakani zinahesabikaNajiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.
Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!
Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
Mbowe ana miguu?!Mwambie Jiwe abusu Miguu ya Mbowe tuone. Maana ni mwenyekiti wako pale Mbogamboga
Utatuambia nini kama huo "muda/nyakati za mwisho" bado hazijafika?Na hakuna mwanadamu yeyote yule atakayeweza kuleta amani duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa viongozi wa katoliki hayo ni ya kawaida sana ndugu yangu ingawa anaweza Fanya hayo Kwa kuigiza piaNajiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.
Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!
Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
Sahihisho: Pengo hayuko madarakani bali yuko katika utumishi!Huyo ni mtumishi wa Mungu, hao wengine ni miungu watu wanaotaka kuwa wa kwanza na kutukuzwa badala ya kuwa wa mwisho kama kama mafundisho ya injili yanavyowataka. Huyo Pengo ni kada mtiifu wa CCM ila siku zake madarakani zinahesabika
Tupe mfano wa hiyo kawaida sana!Kwa viongozi wa katoliki hayo ni ya kawaida sana ndugu yangu ingawa anaweza Fanya hayo Kwa kuigiza pia
Ukikosa sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu,unyenyekevu, unaishia kuwa mtawalaSahihisho: Pengo hayuko madarakani bali yuko katika utumishi!