Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita

Najiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.

Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!

Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
 
Unakosea pa kuanzia. Huyo Jiwe wako ndiye chanzo cha hawa ulowataja kuwa "takataka"! Definitely nao hao "takataka' ni wa kulaumiwa, wanaogopa kufia kondoo wao, wanamtukuza "katili" kuogopa kufa! Hawataki kusema ukweli walioapa kuulinda, kuufia!
Umeshapanic!

Na ndio maana najiuliza sana kwa kuwafikiria watu wa aina yako!
 
Ungetuwekea na kapicha ka kusindikizia hili bandiko lako ungetisha sana maana si wote tulioshuhudia hilo tukio. Na hata kama amewabusu hiyo miguu yao, bado haiwezi kuondoa ile dhana ya watu weupe kujiona wao ni bora na hivyo kuendelea kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwa sababu zao za kipuuzi.
 
Najiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.

Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!

Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
Mwambie Jiwe abusu Miguu ya Mbowe tuone. Maana ni mwenyekiti wako pale Mbogamboga
 
Najiuliza tu unyenyekevu ule ulioonyeshwa na kiongozi mkuu wa Kanisa Katoliki duniani kuwabusu miguu mahasimu wawili na wababe wa vita Rais Salva Kiir na Machar umetufunza nini sisi watanzania.

Sipati picha tukio hilo lingefanywa na viongozi wetu hapa Tanzania hawa akina Kardinali Pengo, Kakobe, Gwajima au alhad Salum!

Niendelee kuwatakia kwaresma yenye baraka!
Huyo ni mtumishi wa Mungu, hao wengine ni miungu watu wanaotaka kuwa wa kwanza na kutukuzwa badala ya kuwa wa mwisho kama kama mafundisho ya injili yanavyowataka. Huyo Pengo ni kada mtiifu wa CCM ila siku zake madarakani zinahesabika
 
Kwa viongozi wa katoliki hayo ni ya kawaida sana ndugu yangu ingawa anaweza Fanya hayo Kwa kuigiza pia
 
Huyo ni mtumishi wa Mungu, hao wengine ni miungu watu wanaotaka kuwa wa kwanza na kutukuzwa badala ya kuwa wa mwisho kama kama mafundisho ya injili yanavyowataka. Huyo Pengo ni kada mtiifu wa CCM ila siku zake madarakani zinahesabika
Sahihisho: Pengo hayuko madarakani bali yuko katika utumishi!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom