Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita


chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
6,927
Points
2,000
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
6,927 2,000
Na wewe umeandika mambo ya kipuuzi kabisa. Mleta mada amesema kitendo cha Papa kumbusu miguu Rais wa sudani kinaashiria nini? Wewe unaongelea watu weupe kuwabagua weusi? Kwani vita ya Sudani kusini wanapigana wazungu au? Acheni kuwatwisha wazungu kila mnapokwama kwenye maisha yenu. Waafrika ni watu waliolaaniwa hata kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea tu ili huyo mjinga ajue, Ulaya (wazungu) wenyewe walitawalana wao kwa wao kama walivyoitawala Afrika, lakini amewahi ona wakifeli masuala yao wanawalaumu waliowatawala?!

Akumbe hata sisi wafrika tulitekana (empires) na kutawalana vile vile tena sisi tulichinjana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Messages
1,013
Points
2,000
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2018
1,013 2,000
Hatujalaaniwa, hatutambui nguvu zetu, uwezo wetu, hatujiamini.
 
prs

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Messages
2,228
Points
2,000
prs

prs

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2013
2,228 2,000
Nimejisikia vibaya saana yani nazuia machozi yasitoke. Mtu huyu ni mnyenyekevu kupitiliza.
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..
 
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Messages
1,013
Points
2,000
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2018
1,013 2,000
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..

Yaani kama wengine wanaweza kujiongeza tunashindwa nini?
 
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2018
Messages
1,013
Points
2,000
R

ruaharuaha

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2018
1,013 2,000
Mkuu Mimi si Mkristo lakini nimesikitika sana, Viongozi Africa ni wabinafsi sana, Makatili wasiyojali thamani ya Utu. Hata Tanzania pia ingawa hali si mbaya kama Sudan..

Hawa ni ndugu zetu inabidi tujue hivyo hakuna haja kuchinjana, kuuana, kisa madaraka ya miaka 5, 10. Tunakosea wapi, Ila mbona ni somo rahisi. Ndio hapo unaziona akili zetu.

Wengine wanaongea wakiwa na matatizo.
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
230
Points
250
Age
30
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
230 250
HUYO KATUMWA TU NA MABEPARI WA WESTERN ARMAMENTS INDUSTRIES. PAMOJA NA COUNCIL OF THIRTEEN;

LAKINI PIA USIWAAMINI HAWA 4 WATAASISI; NI NCHI NDANI YA NCHI FULL KUJITEGEMEA;

THE LONDON CITY- World's financial control
THE WASHINGTONE DC - threatening technique, Military Black projects and Global
population control; area 54
THE VATICAN CITY;- indoctrinations, Religion threatening, Hog wash. Alfa draconis mount Moria project
THE US FEDERAL RESERVE,-Rothchild international untouchable family, Banking system control

Na hawa woote wana umoja katika hilo. kama wakitaka vita iishe Sudani ni rahisi sana haichukui hata mwezi mmoja. hao viongozi wa Sudani leo wakiacha bado Sudani moto utawaka tu kwa viongozi wengine wapya.Tatizo ni kilichoko Sudani wanakitaka mno ndo wanakitaka hasa leo mpaka kesho. waswahili tunaona mapicha tu. na wale ndugu zangu romans weusi ( RC) hawatanielewa wanatamani kurusha ngumi.
 
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
2,860
Points
2,000
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
2,860 2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
6,111
Points
2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
6,111 2,000
Mbona haikemei Marekani kuhusu vita anazopiganisha huko mashariki ya kati (Syria, Yemen etc) na kusababisha maangaiko kwa wanadamu....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you, you are a definition of a great thinker,
Sijui waafrica tulikosea wapi katika hii dunia, yaani sababu Papa kabusu miguu ya waafrica basi watu roho zinawauma na kuwalaani waafrica wenzao ila huyo huyo Papa hajawahi kubusu miguu ya Geogre Bush wakati akiua watu Iraq na Afghanistan, hajawahi kubusu miguu ya Obama wakati akiua watu Libya wala hajawahi kubusu miguu ya Trump akiua watu Syria na kwingineko.

Bora mtu akunyime chakula kuliko kukutawala kifikra sababu unakua zuzu mpaka kizazi chako.
 

Forum statistics

Threads 1,285,027
Members 494,367
Posts 30,847,695
Top