Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita

Hili punguani sijui la wapi. Maana magaidi wanaoua watu na vita vilivyoko somalia,sudan,yemen,iraq,iran,morocco yale machafuko,na wanaolipua watu sehemu mbalimbali kama ambavyo muhamad naye alikuwa akifanya vita na kupora mali halafu anadhulumu wenzie....hiyo ndo amani?usiwachokoze watu wakaanza kuweka wazi na ushahidi hapa muhamad jamaa wanamuuliza ile mali tuliyopora vipi tugawane basi... Anawaambia ile ni ya mwenyezi Mungu na mtume wake....wakati walipora pamoja... Jamaa lilikuwa lijangili na jambazi kabisa....

Hatimaye ametukubali waislam kuwa ndio dini ya haki na utulivu duniani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe usiwe fala...kila anayetaka kujifunza anaweza yajua maandiko hakuna anayejua zaidi labda zaidi yako.shetani mwenyewe anayajua sana tu. Wewe kama husomi unasubiri wakusomee unakosea. Na huyo jamaa naye punguani anachopinga kwa papa sikioni.lijinga kabisa...papa anatafuta amani ni jambo ambalo kristo aliagiza heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.

Kwamba wewe unayajua maandiko kuliko mkatoliki huyo mkuu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa....... Ile ni ibada mkuu ya ukumbusho wa Yesu alivyowaosha miguu wale thenashara.

Lete mfano kama wa Papa!
Kwa hiyo unataka kila mtu afanye alichofanya papa? Ndugu alichofanya papa Kwa wakatoliki wanaita unyenyekevu uliotukuka na unaweza Fanya hayo Kwa njia tofauti tofauti na mfano Gwajima alivyotoa maneno ya kejeri Kwa Pengo,uliona unyenyekevu wa Pengo
Pia nenda ktk mahospitali na mashule Yao utaona huo unyenyekevu Kwa njia tofauti tofauti ndugu yangu
 
Hapa inaonyesha kuwa hawa viongozi wa Sudan Kusini wamekosa adabu kabisa! Walichotakiwa kufanya ni kuinuka na kumzuia Papa kubusu viatu vyao na kupiga magoti mbele yake na kumwomba radhi!!!!
Kama umeangalia hio video vzr utaona yule jamaa wa pili na wa tatu waliinama kumzuia papa kufanya hivo, lkn yule jamaa la kwanza alirelax kabisa bila hofu yyt ile.
 
Huyu papaa..muwakilishi wa yesu wakwenye mawingu/space
Kwa sisi tusioamini dini...ni maigizo tuu kwa wale wafia dinii..
Ukweli wanaujua wao vatican wakiwa wanawapa fedha na silaha watunishiane misuli..na kuua raia..
 
Hakuna unyenyekevu hapo, kanisa linapoteza mvuto na kesi nyingi za unyanyasaji wa kingono. Hawa jamaa wana mbinu nyingi sana, baada ya kuona hii picha unafikiri kuna jamii ya kichaga itamuamini mtoto atakae sema amefirw.a na padre? " kanisa ni jema na halibagui watu, ndomana hata papa amebusu miguu ya watu weusi "

Mkuu
nimecheka sanaa..hii ni mind games tuu..sasa ngoja wafia dini/wakatoliki watapokuja na povuu
 
Ungetuwekea na kapicha ka kusindikizia hili bandiko lako ungetisha sana maana si wote tulioshuhudia hilo tukio. Na hata kama amewabusu hiyo miguu yao, bado haiwezi kuondoa ile dhana ya watu weupe kujiona wao ni bora na hivyo kuendelea kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwa sababu zao za kipuuzi.
Na wewe umeandika mambo ya kipuuzi kabisa. Mleta mada amesema kitendo cha Papa kumbusu miguu Rais wa sudani kinaashiria nini? Wewe unaongelea watu weupe kuwabagua weusi? Kwani vita ya Sudani kusini wanapigana wazungu au? Acheni kuwatwisha wazungu kila mnapokwama kwenye maisha yenu. Waafrika ni watu waliolaaniwa hata kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upumbavu na ujinga wa mwisho kwa kitendo hicho. Lakini kwa kuwa amefanya "papa mzungu kiongozi wa kanisa katoliki amabi wanadai eti papa anamuwakilisha "mungu baba" hapa duniani. Ni sawasawa na kitendo cha Henri Mwanri kusema mungu anatakiwa amshukuru raisi magufuli kwa kazi nzuri. Na hapo tunaona mawakilishi wa mungu ana busu miguu ya wauwaji wa Sudan Kusini wanaouwa kwa kugombea madaraka
Pope Francis has kissed the feet of South Sudan's previously warring leaders during a two-day spiritual retreat at the Vatican.
"I am asking you as a brother to stay in peace. I am asking you with my heart, let us go forward," the 82-year-old pontiff said after he performed the rare gesture.
President Salva Kiir and his rival, the former rebel leader Riek Machar, clashed in 2013 leading to a civil war that left 400,000 people dead.
But they signed a peace agreement last year that brought the war to an end.

My take:

Hao viongozi wakitoka hapo na kuendeleza vita badala ya amani watakuwa na mwisho mbaya sana.

Usiombe mtumishi wa Mungu kushuka kwako kwa kiwango hicho ili ubadilike!
View attachment 1069387
View attachment 1069388
View attachment 1069486
Sent using Jamii Forums mobile app


======

Papa Francis abusu miguu ya Salva Kiir na Machar kuwasii waache vita
"Nipo chini ya miguu yako" Unaweza kutafsiri hivyo baada ya Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis kufanya kitendo cha unyenyekevu na kisicho tarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu miguu ya viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, kuwahamasisha kuuendeleza mchakato wa amani.

PAPA FRANCIS AKIINAMA KUBUSU MIGUU VIONGOZI HAO.



Kwa mujibu wa shirika la habari la Deutsche Welle, Mwishoni mwa ziara ya kiroho ya siku mbili ya viongozi hao wa Afrika mjini Vatican, Papa Francis alimuomba rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na hasimu wake Rieck Machar kuendeleza mazungumzo ya amani, licha ya kuongezeka kwa ugumu, na kisha alipiga magoti na kubusu miguu yao, pamoja na ya makamu wa rais Rebecca Nyendeng Garang.

Papa Fransic hufanya tendo la kitamaduni la kiimani la kuwaosha miguu wafungwa siku ya Alhamisi kuu, lakini hajawahi kufanya tendo kama hili kwa viongozi wa kisiasa.

Alisema mwishoni mwa ziara hiyo kwamba anataraji kusitishwa kwa uadui, mapigano, mgawanyiko wa kikabila na kurejeshwa kwa hali ya amani nchini humo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe umeandika mambo ya kipuuzi kabisa. Mleta mada amesema kitendo cha Papa kumbusu miguu Rais wa sudani kinaashiria nini? Wewe unaongelea watu weupe kuwabagua weusi? Kwani vita ya Sudani kusini wanapigana wazungu au? Acheni kuwatwisha wazungu kila mnapokwama kwenye maisha yenu. Waafrika ni watu waliolaaniwa hata kwenye biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea tu ili huyo mjinga ajue, Ulaya (wazungu) wenyewe walitawalana wao kwa wao kama walivyoitawala Afrika, lakini amewahi ona wakifeli masuala yao wanawalaumu waliowatawala?!

Akumbe hata sisi wafrika tulitekana (empires) na kutawalana vile vile tena sisi tulichinjana kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom