Ukraine yapinga ombi la Papa Francis kujadili kusitisha vita na Russia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Ukraine Jumapili ilipinga wito wa Papa Francis wa kujadili kusitisha vita na Russia, huku Rais Volodymyr Zelenskiy akisema Papa alikuwa akifanya “upatanishi kwa mbali” na waziri wake wa mambo ya nje akisema Kyiv haitasalimu amri.

Francis alisema kuwa wakati mambo yanaelekea kubaya kwa pande kwenye mzozo, mtu anapaswa kuonyesha “ujasiri wa kusalimu amri kwa kuinua bendera nyeupe” na kujadiliana.

Mahojiano ya Papa yaliaminika kuwa ni mara ya kwanza kutumia maneno kama “kuinua bendera nyeupe” au “kushindwa” kwa kujadili vita vya Ukraine, ingawa aliwahi kutaja umuhimu wa mazungumzo.

Zelenskiy hakutaja moja kwa moja Francis au maoni yake lakini alitaja wanadini wanaosaidia ndani ya Ukraine.

“Wanatuunga mkono kwa maombi, kwa majadiliano yao na kwa vitendo. Hivi ndivyo kanisa lenye watu lilivyo,” Zelenskiy alisema katika ujumbe wa kila usiku kupitia video.

Waziri wa mambo ya nje Dmytro Kuleba, akiandika kwenye mtandao wa X alisema kuwa mtu mwenye nguvu katika mzozo wowote “husimama upande wa wema badala ya kujaribu kuwaweka wote kwenye kigezo sawa na kuyaita “mazungumzo’.

“Bendera yetu ni ya njano na bluu,” Kuleba aliandika kwa Kiingereza, akimaanisha bendera ya taifa ya Ukraine.

Hiyo ndiyo bendera inafanya tunaishi, kufa na kushinda. Hatutainua hata siku moja bendera nyingine yoyote.”

###

Ukraine criticises Pope's 'white flag' comment

Ukraine has strongly rejected a call by Pope Francis for Kyiv to negotiate an end to its war with Russia and have "the courage to raise the white flag".

Ukraine's foreign minister says it will "never raise any other flags" than the country's blue and yellow colours.

And the country's President Volodymyr Zelensky dismissed the comments as "virtual mediation".

A Vatican spokesman later said the Pope was speaking of stopping the fighting through negotiation, not capitulation.

The interview with Swiss broadcaster RSI, recorded in February, is scheduled to air on 20 March as part of a cultural programme.

According to a transcript quoted by Reuters news agency, the Pope was asked to comment on a debate between those who want Ukraine to seek a settlement with Russia - or wave the "white flag", as the interviewer put it - and those who argue that doing so would legitimise aggression.

The Pope was quoted as saying: "The strongest one is the one who looks at the situation, thinks about the people and has the courage of the white flag, and negotiates."

"When you see that you are defeated, that things are not going well, you have to have the courage to negotiate," he added.

The statement has triggered a barrage of criticism.

During his nightly video address on Sunday, President Zelensky did not directly refer to the Pope, but instead praised the work of Ukrainian chaplains on the frontline.

He said: "They are on the frontline, protecting life and humanity, supporting with prayer, conversation, and deeds.

"This is what the church is - it is together with people, not two-and-a-half thousand kilometres away somewhere, virtually mediating between someone who wants to live and someone who wants to destroy you."

Earlier on Sunday Ukrainian Foreign Minister Dmytro Kuleba said on social media: "Our flag is a yellow and blue one. This is the flag by which we live, die, and prevail. We shall never raise any other flags."

Ukraine's ambassador to the Vatican compared the Pope's comments to those who advocated talks with Adolf Hitler during Word War Two.

Source: BBC
 
Nilisema kuwa Vita ni mapungufu makubwa ya akili. Majibu ya Zelensky yanadhihirisha hayo. Yupo tayari watu wake wafe wote abaki yeye na kukimbilia uhamishoni.

Kuna wakati you have to run away in order to prepare a fight for the another day
Would you flee your own home after an invasion or stand up and fight for your wife and children as a man? Embu jiweke wewe kwenye nafasi yao!
 
Would you flee your own home after an invasion or stand up and fight for your wife and children as a man? Embu jiweke wewe kwenye nafasi yao!
Negotiation ya hii vita siyo fleeing wala desplacement. But a mutua agreement on issues za kila upande ubaki salama.

Unajua kabisaa kuwa EU walikubaliana na so called USSR kuwa after lifting the iron curtain hawataziingiza states zilizojichomoa USSR kwenda EU na hapo ndipo tatizo lilipo.

Unaruhusu watu wako wafe, wawe walemavu na kuharibu uchumi wa nchi kwa sababu tu ya ambitions za kuwaridhisha wasiopenda amani ya adui wao?

Ni upumbavu
Ni ujinga
Ni kukosa akili kutumia vita kama shinikizo la matakwa fulani
 
Ukiangalia pro Russia wengi leo hii wanalilia mazungumzoMimi naona Putin aendelee tu kutiwa adabu..,alitaka kutafta kick kwa kuiteka Kyiv ndani ya siku 3..,matokeo yake vijana wake wanaendelea kuchinjwa ..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱🥱
1710147535461.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukiangalia pro Russia wengi leo hii wanalilia mazungumzoMimi naona Putin aendelee tu kutiwa adabu..,alitaka kutafta kick kwa kuiteka Kyiv ndani ya siku 3..,matokeo yake vijana wake wanaendelea kuchinjwa ..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2931352

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Basi Kyiv watakuwa wameshinda
 
Kwenye vita lazima wanajeshi wafe na vifaa vya vita viharibike cha muhimu kinachoangaliwa malengo ya hyo vita ifikiwe na mpaka sasa hv Russians wanachokitaka washapata wanaendelea tu na vita kuonyesha ubabe lakini majimbo yote waliyoyataka tayari yapo chini yao sasa hv inataka kuongezwa na odesa hili Ukraine wakose bandari kabisaaa iwe kama Uganda au drc
 
Ukiangalia pro Russia wengi leo hii wanalilia mazungumzoMimi naona Putin aendelee tu kutiwa adabu..,alitaka kutafta kick kwa kuiteka Kyiv ndani ya siku 3..,matokeo yake vijana wake wanaendelea kuchinjwa ..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2931352

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
siamin kama kipanya anaweza kua mtu mwenye akili timamu.
 
Negotiation ya hii vita siyo fleeing wala desplacement. But a mutua agreement on issues za kila upande ubaki salama.

Unajua kabisaa kuwa EU walikubaliana na so called USSR kuwa after lifting the iron curtain hawataziingiza states zilizojichomoa USSR kwenda EU na hapo ndipo tatizo lilipo.

Unaruhusu watu wako wafe, wawe walemavu na kuharibu uchumi wa nchi kwa sababu tu ya ambitions za kuwaridhisha wasiopenda amani ya adui wao?

Ni upumbavu
Ni ujinga
Ni kukosa akili kutumia vita kama shinikizo la matakwa fulani
Upo sahihi kabisa na sekunde 20 zilizopita mji mwingine muhimu umetekwa na Askari 355 wamekufa huko Donensiky, na 400 Lugansiky kwa masaa 24. Hivyo ni Vifo vya Vijana. Pia hasara kubwa ya silaha za kimarekani zimechomwa Moto, video na habari hii ipo Telegramu, Aljazeera Arabic, China Tv na RT.
Sasa Sijuhi Kama Urusi atarudisha miji hii au ataipora. Lakini kama Zelensiky angemsikiliza Papa, Vifo, kutwaliwa maeneo na hasara ya zana visingeliwepo.
 
Huko ni kuchanganyikiwa. Angekuwa na picha ya leo kabla ya vita asingethubutu kupambana na Urusi. Siasa yake imeshindwa kujua nguvu ya Urusi na Unafiki wa mabwana zake
Hivi kwanini halishindwa kutumia Google kujua nguvu ya Urusi? Maana hata kijana wangu wa Miaka 12 anajua Vita ya Marekani na Urusi direct HAKUNA Mshindi.
 
Nilisema kuwa Vita ni mapungufu makubwa ya akili. Majibu ya Zelensky yanadhihirisha hayo. Yupo tayari watu wake wafe wote abaki yeye na kukimbilia uhamishoni.

Kuna wakati you have to run away in order to prepare a fight for the another day
Fo ze anaza dei 🙄
 
Ukiangalia pro Russia wengi leo hii wanalilia mazungumzoMimi naona Putin aendelee tu kutiwa adabu..,alitaka kutafta kick kwa kuiteka Kyiv ndani ya siku 3..,matokeo yake vijana wake wanaendelea kuchinjwa ..,hii ni Jana tu, zaidi ya mia Tisa walilambishwa mchanga 🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2931352

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
HAKUNA maali Viongozi wa Urusi wala walitoa takwimu ya kuipiga Nato uwanja wa Ukraine kwa Siku 3.
Mara nyingi unapotosha Watu wasiofuatilia habari na takwimu zako hewa. Nyie Wana propaganda wa Ukraine na West inabidi mpelekwe vitani walau muwe wapishi sio kulipwa vidora na BAROZI za Uingereza. Tunawajua.
 
Upo sahihi kabisa na sekunde 20 zilizopita mji mwingine muhimu umetekwa na Askari 355 wamekufa huko Donensiky, na 400 Lugansiky kwa masaa 24. Hivyo ni Vifo vya Vijana. Pia hasara kubwa ya silaha za kimarekani zimechomwa Moto, video na habari hii ipo Telegramu, Aljazeera Arabic, China Tv na RT.
Sasa Sijuhi Kama Urusi atarudisha miji hii au ataipora. Lakini kama Zelensiky angemsikiliza Papa, Vifo, kutwaliwa maeneo na hasara ya zana visingeliwepo.
Kuna watu wanaamini kuwa kuvimbiana na kuoneshana umwamba baina ya viongozi wa mataifa hadi kufikia kupeleka vijana wao wakauane vitani ndiyo suluhu.

Inaumiza sana nafsi vifo hivyo vinavyoepukika
 
Nilisema kuwa Vita ni mapungufu makubwa ya akili. Majibu ya Zelensky yanadhihirisha hayo. Yupo tayari watu wake wafe wote abaki yeye na kukimbilia uhamishoni.

Kuna wakati you have to run away in order to prepare a fight for the another day
Jambazi likiingia nyumbani kwako na kumjigjig mkeo na watoto wako wa kike utakimbia nyumba Yako?
 
Jambazi akiingia nyumbani kwako na kuanzia kumjigijigi mke wako mbele ya macho Yako utasalimu amri ?
 
Jambazi likiingia nyumbani kwako na kumjigjig mkeo na watoto wako wa kike utakimbia nyumba Yako?
Logic ya kukimbilia mfano huo ni ipi?

Ukifuatilia sababu za uvamizi usio halali wa Urusi kwa Ukraine haihusiani na lengo la kuipora ardhi ya Ukraine bali issues za Usalama kupitia Mkataba wa kumaliza vita baridi uliotokana na kuvunjika kwa shirikisho la Urusi.. Nakuwekea quetes hapa usome mwenyewe uelewe tatizo lipo wapi na kipi chenye akili kifanyike

The CFE Treaty was designed to prevent either alliance from amassing forces for a blitzkrieg-type offensive and establish a military balance between NATO and the Warsaw Treaty Organization, at a lower level of armaments. The CFE Treaty (1990) and the politically binding 1992 Concluding Act of the Negotiation on Personnel Strength of Conventional Armed Forces in Europe both contained numerous provisions that focused on confidence building and stabilizing nature. These provisions were monitored by a joint review monitoring mechanism. Although the threat of such an offensive all but disappeared with the end of the Cold War and the dissolution of the Soviet Union, member states repeatedly touted the enduring value of the treaty's weapons limits and inspection regime, which provides an unprecedented degree of transparency on military holdings.

Treaty Limited Equipment (TLE): NATO and the former Warsaw Pact were each limited to 20,000 tanks, 30,000 ACVs, 20,000 heavy artillery pieces, 6,800 combat aircraft, and 2,000 attack helicopters for the treaty's area of application. Member states of each alliance then divided their respective "bloc" limit among themselves, in effect creating national limits. (The Soviet Union's limits were subsequently parceled out among eight of its successor states in 1992.) To prevent any country from amassing a significant asymmetrical stockpile of weapons, the treaty prohibits a single state from possessing more than a third of the TLE total.

As of January 2007, NATO's 22 CFE states-parties claimed collective holdings of 61,281 TLE versus a cumulative limit of 101,697. Russia reported holdings of 23,266 TLE against limits of 28,216. Russia has not provided detailed reports to CFE since 2007. From 1992 through 2008, CFE states reduced more than 52,000 pieces of conventional armaments under the treaty. Many states reduced their holdings more than required – with over 17,955 voluntary reductions or conversions below treaty limits. States also carried out some 6,000 CFE inspections through 2008.
 
Back
Top Bottom