Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita


MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,497
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,497 2,000
Pope Francis has kissed the feet of South Sudan's previously warring leaders during a two-day spiritual retreat at the Vatican.
"I am asking you as a brother to stay in peace. I am asking you with my heart, let us go forward," the 82-year-old pontiff said after he performed the rare gesture.
President Salva Kiir and his rival, the former rebel leader Riek Machar, clashed in 2013 leading to a civil war that left 400,000 people dead.
But they signed a peace agreement last year that brought the war to an end.

My take:

Hao viongozi wakitoka hapo na kuendeleza vita badala ya amani watakuwa na mwisho mbaya sana.

Usiombe mtumishi wa Mungu kushuka kwako kwa kiwango hicho ili ubadilike!

jamesmartinsj-1555011964775-jpeg.1069388

pope_francis_south_sudan_2019_04_12_01_21_38-jpg.1069486

Sent using Jamii Forums mobile app


======

Papa Francis abusu miguu ya Salva Kiir na Machar kuwasii waache vita
"Nipo chini ya miguu yako" Unaweza kutafsiri hivyo baada ya Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis kufanya kitendo cha unyenyekevu na kisicho tarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu miguu ya viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, kuwahamasisha kuuendeleza mchakato wa amani.

PAPA FRANCIS AKIINAMA KUBUSU MIGUU VIONGOZI HAO.Kwa mujibu wa shirika la habari la Deutsche Welle, Mwishoni mwa ziara ya kiroho ya siku mbili ya viongozi hao wa Afrika mjini Vatican, Papa Francis alimuomba rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na hasimu wake Rieck Machar kuendeleza mazungumzo ya amani, licha ya kuongezeka kwa ugumu, na kisha alipiga magoti na kubusu miguu yao, pamoja na ya makamu wa rais Rebecca Nyendeng Garang.

Papa Fransic hufanya tendo la kitamaduni la kiimani la kuwaosha miguu wafungwa siku ya Alhamisi kuu, lakini hajawahi kufanya tendo kama hili kwa viongozi wa kisiasa.

Alisema mwishoni mwa ziara hiyo kwamba anataraji kusitishwa kwa uadui, mapigano, mgawanyiko wa kikabila na kurejeshwa kwa hali ya amani nchini humo.
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,507
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,507 2,000
Hapo Sasa Ndiyo Amani Itatawala
 
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2013
Messages
1,615
Points
1,500
Lyagwa

Lyagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2013
1,615 1,500
Aisee, mbona hatari sana, bado wakitoka hapo wakarumbane kwa issue binafsi, sijui nini kitatokea zaidi
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,686
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,686 2,000
nimewakubali Sana hao wasudani,kwani hujui zamani nao walikuwa wanatufanyia hivyo?
Inaelekea hujaelewa maudhui ya habari. Jinsi ulivyoelewa ni kwamba Wasudan (blacks) wamemlazimisha Pope Francis (white) kubusu miguu yao, ndio maana unasema 'umewakubali'. Hali halisi si hivyo, soma uelewe
 
H

Heijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,029
Points
2,000
H

Heijah

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,029 2,000
This is too much, mimi sio wa dini ya ndugu zangu ila hawa wa Sudan kusini viongozi wao Mungu atawalaani sio kwa tukio hili tu maana ni kama mzazi akupigie magoti lakini nchi yao watu wamepigana miaka mingi wapate uhuru mwisho wa siku mnauwa watu wenu kwa ajili ya power? wale watu walipoteza maisha yao kupigana ndio hichi walichopigania. hapana this is too much na hawa wakiendelea kuuwa watu wao ni nchi za EA kuingia na kuwatoa wote hawa na family zao lakini na mashaka na hili sababu sisi wenyewe EA sio wasafi japo ninependa kuona Tanzania na Kenya kuact kama Germany na France huko EU kusimamia mambo ya msingi ila sijui kama itatokea. Naomba nchi irudi katika amani hakuna zaidi.
 
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
566
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
566 1,000
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Messages
566
Points
1,000
Age
23
Truth Teller

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2016
566 1,000
Inaelekea hujaelewa maudhui ya habari. Jinsi ulivyoelewa ni kwamba Wasudan (blacks) wamemlazimisha Pope Francis (white) kubusu miguu yao, ndio maana unasema 'umewakubali'. Hali halisi si hivyo, soma uelewe
Acha kunilisha maneno..
nimeelewa habari kuliko unavyofikiri.

Ni kwamba papa aliwasihi Amani na mapigano vikome na pande mbili kinzani siafikiane,na akaenda mbali zaidi akasujudu na kuwabusu miguu.
(Hi ni ishara ya unyenyekevu na kusihi)

swala ambalo nimelikubali Ni kuona unafiki wa Vatican unadhihirika wazi pasipo ramuli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2019
Messages
241
Points
500
N

njinjo

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2019
241 500
Acha kunilisha maneno..
nimeelewa habari kuliko unavyofikiri.

Ni kwamba papa aliwasihi Amani na mapigano vikome na pande mbili kinzani siafikiane,na akaenda mbali zaidi akasujudu na kuwabusu miguu.
(Hi ni ishara ya unyenyekevu na kusihi)

swala ambalo nimelikubali Ni kuona unafiki wa Vatican unadhihirika wazi pasipo ramuli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni Msabato sitii neno ila
 
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2014
Messages
1,186
Points
2,000
Njopino

Njopino

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2014
1,186 2,000
Angebusu miguu ya ndege JOHN angepata homa ya mapafu hapo hapo.

Yote ya yote Afrika ijitafakari sana.
😂😂😂 ndege JOHN yupo na celebration ya kutimiza likes buku teni may be leo atakuwa kanawa miguu kachana nywere afu kapaka baby care.
 

Forum statistics

Threads 1,285,012
Members 494,369
Posts 30,847,295
Top