Pope Francis abusu miguu ya viongozi wa Sudan Kusini Salva Kiir na Riek Machar, akiomba wasitishe vita

Pope Francis amewapigia magoti na kuwabusu miguu viongozi wa Sudani Kusini kuwaomba wamalize tofauti zao na kuondoa machafuko yanayogharimu maisha ya maelfu ya wananchi wasio na hatia. Mchukua video analia kwa kwikwi kwa tendo hilo. Very touching!

 
akawabusu Putin na Yule wa Ukraine sasa maana ya show yao imesababisha mchele unauzwa elfu 4 kwa kilo😅😅😅
 
Ni kiongozi gani tena aliachia kojo la nguvu . Nadhani hawana akili vizuri hao viongozi wa Sudani kusinin
 
Pope Francis has kissed the feet of South Sudan's previously warring leaders during a two-day spiritual retreat at the Vatican.
"I am asking you as a brother to stay in peace. I am asking you with my heart, let us go forward," the 82-year-old pontiff said after he performed the rare gesture.
President Salva Kiir and his rival, the former rebel leader Riek Machar, clashed in 2013 leading to a civil war that left 400,000 people dead.
But they signed a peace agreement last year that brought the war to an end.

My take:

Hao viongozi wakitoka hapo na kuendeleza vita badala ya amani watakuwa na mwisho mbaya sana.

Usiombe mtumishi wa Mungu kushuka kwako kwa kiwango hicho ili ubadilike!
View attachment 1069387
View attachment 1069388
View attachment 1069486
Sent using Jamii Forums mobile app


======

Papa Francis abusu miguu ya Salva Kiir na Machar kuwasii waache vita
"Nipo chini ya miguu yako" Unaweza kutafsiri hivyo baada ya Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis kufanya kitendo cha unyenyekevu na kisicho tarajiwa baada ya kupiga magoti na kubusu miguu ya viongozi wanaohasimiana nchini Sudan Kusini, kuwahamasisha kuuendeleza mchakato wa amani.

PAPA FRANCIS AKIINAMA KUBUSU MIGUU VIONGOZI HAO.



Kwa mujibu wa shirika la habari la Deutsche Welle, Mwishoni mwa ziara ya kiroho ya siku mbili ya viongozi hao wa Afrika mjini Vatican, Papa Francis alimuomba rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pamoja na hasimu wake Rieck Machar kuendeleza mazungumzo ya amani, licha ya kuongezeka kwa ugumu, na kisha alipiga magoti na kubusu miguu yao, pamoja na ya makamu wa rais Rebecca Nyendeng Garang.

Papa Fransic hufanya tendo la kitamaduni la kiimani la kuwaosha miguu wafungwa siku ya Alhamisi kuu, lakini hajawahi kufanya tendo kama hili kwa viongozi wa kisiasa.

Alisema mwishoni mwa ziara hiyo kwamba anataraji kusitishwa kwa uadui, mapigano, mgawanyiko wa kikabila na kurejeshwa kwa hali ya amani nchini humo.

Dini gani hii ya kiongozi kubusu miguu ya watu.Utadhani ni dini ya shetani.Kwani haitoshi kuwaamrisha kwa kutumia aya za kitabu cha Mungu.Au hakuna vitu hivyo kwenye vitabu.
kuna mmoja anasema wasipotekeleza watapata balaa.Hamna lolote kwa sababu hayo mambo hayatokani na Mungu mwenyewe.
 
Nimejaribu ku attach na video. Utaona viongozi wote walivyochanganyikiwa kwa tukio hilo. Inaogopesha sana kubusiwa miguu na mtu mishi wa Mungu kwa unyenyekevu namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mshenzi sana aache kupalilia watu kukulana vinyeo

Yaani kwa hili wakristo mnatakiwa muamke kweli maana mlipofikia ama kufikishwa kunasikitisha kwel kwel

Papa hana tofauti na ibilisi au shetani tena alaaniwe haswaaa
Screenshot_20230206-092637.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu ku attach na video. Utaona viongozi wote walivyochanganyikiwa kwa tukio hilo. Inaogopesha sana kubusiwa miguu na mtu mishi wa Mungu kwa unyenyekevu namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mshenzi sana aache kupalilia watu kukulana vinyeo

Yaani kwa hili wakristo mnatakiwa muamke kweli maana mlipofikia ama kufikishwa kunasikitisha kwel kwel

Papa hana tofauti na ibilisi au shetani tena alaaniwe haswaaa View attachment 2509341

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom