Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,400
111,153
UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics

A
total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa district.

The 16-week training was conducted by the Uganda Peoples’ Defence Forces.

In his message, the Chief of Defence Forces, General Muhoozi Kainerugaba, lauded the President of the Republic of Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, for his immense contribution to the security and stability of the region and the African continent. “His steadfast commitment to clear foreign policies has not only fostered peace in the region but also facilitated the exceptional development that our nation has attained,” General Kainerugaba said.

Chanzo: EAGLE Online Uganda.

Tafadhali elewa sana sentensi isemayo mengineyo duniani na Kulewa Pombe, Kutisha Raia na Kugombe Mabaamedi.
 
hahaaaa nimecheka sana kugombea viburudisho Bar, hahaaaaa na wale wa kutoa vitambulisho je , unajua mimi nani?
 
Huyo jamaa mtoto wa Rais kapoa sana siku hizi tangu ile kauli yake ya kusema ataikamata Kenya kwa siku Tatu sijui
Ila alijua kuwajambisha
 
Back
Top Bottom