Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,530
- 113,667
- Thread starter
- #201
Mkuu Bila Bila, kiukweli Tanzania tuna vilaza mpaka basi!. Ule mwaka wa data collection, hakukuwepo na report hiyo. Japo data collection ni kipindi cha nyuma, ripoti ni current ya mwaka huu 2019.Mwandishi unayejiita Nguli wa uandishi huwezi kufanya haya bado tukakuita unvyotaka kuitwa. Takwimu za Tanzania ni za 2000-2011 ambapo inahusisha miaka ya Mkapa na Kikwete. Ni miaka ambayo maendeleo ya watu yalitiliwa mkazo kuliko maendeleo ya vitu, sasa unapokuja kusifia utawala wa "KUBORESHA CHATO" kwa kutumia takwimu za utawala mwingine tukuiteje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikupe mfano wa ujauzito. Jee unajua mwanzo wa life ni siku ya mimba inapotungwa na sio siku ya mtoto anapozaliwa?.
Siku ya kuzaliwa kwa mtoto, mama mzazi anapewa pongezi kwa kuleta life, kuleta kiumbe au kuzaa mtoto baada ya kazi kubwa ya kulea mimba, labour pain hadi kiumbe kutoka. Wewe ambaye ni baba wa mtoto pia unapongezwa for what?, kupachika mimba, or kulea mimba?. Na hata ikitokea aliyepachika sio wewe as long as wewe ndie mume wa mama, then wewe ndio baba, na pongezi utapewa hata kama wife wako anajua ulisaidiwa!.
Ripoti ni ya mwaka 2019 Tanzania yaongoza duniani kuondoa umasikini uliotopea.
P