Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

Mwandishi unayejiita Nguli wa uandishi huwezi kufanya haya bado tukakuita unvyotaka kuitwa. Takwimu za Tanzania ni za 2000-2011 ambapo inahusisha miaka ya Mkapa na Kikwete. Ni miaka ambayo maendeleo ya watu yalitiliwa mkazo kuliko maendeleo ya vitu, sasa unapokuja kusifia utawala wa "KUBORESHA CHATO" kwa kutumia takwimu za utawala mwingine tukuiteje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Bila Bila, kiukweli Tanzania tuna vilaza mpaka basi!. Ule mwaka wa data collection, hakukuwepo na report hiyo. Japo data collection ni kipindi cha nyuma, ripoti ni current ya mwaka huu 2019.

Naomba nikupe mfano wa ujauzito. Jee unajua mwanzo wa life ni siku ya mimba inapotungwa na sio siku ya mtoto anapozaliwa?.
Siku ya kuzaliwa kwa mtoto, mama mzazi anapewa pongezi kwa kuleta life, kuleta kiumbe au kuzaa mtoto baada ya kazi kubwa ya kulea mimba, labour pain hadi kiumbe kutoka. Wewe ambaye ni baba wa mtoto pia unapongezwa for what?, kupachika mimba, or kulea mimba?. Na hata ikitokea aliyepachika sio wewe as long as wewe ndie mume wa mama, then wewe ndio baba, na pongezi utapewa hata kama wife wako anajua ulisaidiwa!.

Ripoti ni ya mwaka 2019 Tanzania yaongoza duniani kuondoa umasikini uliotopea.
P
 
You very right, utafiti ni Between 2000-2015 nchi 15 zimeondoa watu milioni 800 kutoka katika umasikini uliotopea, Tanzania ndio imeongoza kwa kutoa watu wengi zaidi. Kwa vile ripoti ni ya mwaka huu, nchi kinara inayoongoza dunia kwenye ripoti hii ni Tanzania, pongezi zinakwenda kwa utawala wa Tanzania wa sasa 2019 wakati ripoti inatoka.
P
Akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Mkuu P nadhani hapa hauko sahihi kabisa labda kama utabadilisha heading ya uzi wako. Heading yapaswa ianze na pongezi kwa serikali ya JMT............., alafu uendelee na kusifia poti wako kama ulivyoamua kwa hiyari yako. Ninachojua ni kuwa muda si mrefu utapata posti haswa kabla ya uchaguzi mkuu kazi utakayoifanya vizuri sana.
 
Hata mimi hiyo Clip niliiona, ulikuwa mtu wa maana kweli, sasa sijui huenda yale hayakuwa yanatoka kwenye kichwa chako !!, huyu sio Paschali niliyemhusudu, Prof Assad anashangaa sana, kuna mambo mengi saana ya muhimu hayasemwi hapa nchini
Umuhimu ni relative, unafuata principles za relativity. Kitu muhimu kwako sio lazima kiwe muhimu kwangu kama ilivyo kwa " one man's meat is another man's poison" na "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno". Hili jambo la Tanzania kushika nafasi ya kwanza kidunia kwenye jambo jema la kheri kama hili kwanza ni kubwa.
P
 
You very right, utafiti ni Between 2000-2015 nchi 15 zimeondoa watu milioni 800 kutoka katika umasikini uliotopea, Tanzania ndio imeongoza kwa kutoa watu wengi zaidi. Kwa vile ripoti ni ya mwaka huu, nchi kinara inayoongoza dunia kwenye ripoti hii ni Tanzania, pongezi zinakwenda kwa utawala wa Tanzania wa sasa 2019 wakati ripoti inatoka.
P
Kama nchi anayestahili kupokea hizo pongezi nai Raisi aliyeko madarakani. Lakini inapokuja nani alisimamia sera na mipango iliyofanikisha kupunguza huo umaskini ni aliyekuwa madarakani 2000 to 2011
 
Umuhimu ni relative, unafuata principles za relativity. Kitu muhimu kwako sio lazima kiwe muhimu kwangu kama ilivyo kwa " one man's meat is another man's poison" na "ganda la mua la jana, chungu aona kivuno". Hili jambo la Tanzania kushika nafasi ya kwanza kidunia kwenye jambo jema la kheri kama hili kwanza ni kubwa.
P
Nasikitika saana kuona mtu ambae sisi wasukuma tulikuwa tunamtegemea atutoe kimasomaso mbele ya jamii ya watanzania kwamba ni miongoni mwa wanaharakati wachache kumbe nae ameamua kujitoa ufahamu na kujivika uchizi na kuamua kwa makusudi kutegemea akili za akina humphrey polepole kuchabua mambo, (Paschali Mayalla), ulikuwa tegemeo letu wasukuma sasa sijui tunafanyaje, hili kabila letu ni shia kubwa sana, Ndoho tabu na wakati mtu amefungwa pingu mikononi, naamini kuna siku utayakana haya maneno ya aibu kwako,Ingekuwa leo ni mwaka 1959 kwa msimamo wako huo tungepata Uhuru kweli ??
 
Mkuu Adudala Kovu, nikijipima hoja zangu za sasa nikilinganisha na nilipokuwa Kijana, na yale maswali yangu ya kiti moto type, kiukweli nazeeka vizuri, maana ningeendelea vile, saa hizi ingekuwa ni kitambo usawa wa kiroba if I was lucky if not I would have disappeared into thin air kama Azory Gwanda na Ben Saanane.
P
Natumai unajua ufanyalo mkuu P na pengine wajua itakulipa tu
 
Kama nchi anayestahili kupokea hizo pongezi nai Raisi aliyeko madarakani. Lakini inapokuja nani alisimamia sera na mipango iliyofanikisha kupunguza huo umaskini ni aliyekuwa madarakani 2000 to 2011
Urais ni kupokezana vijiti, ukiisha kabidhi, unakaa pembeni, mazuri yote hata ya kwako yanakuwa ya mwenzio.
Pongezi za kimataifa ni kwa Magufuli, ila sasa Magufuli ndio anaweza kuwapongeza Mkapa na Kikwete. The date of publication of the report is very significant, ingekuwa labelled 2000-2015 Report, then ingewahusu Mkapa na JK, lakini hii ni ripoti ya 2019 kipindi hiki cha Magufuli japo data was collected on 2011. Kinacho matter most is the date of publication of the report and not the date of data collection.
Pongezi ni kwa Magufuli.

Kwa hiyo huo umaskini umepungua kutokana na sera na mipango iliyofanyika kati Octoba 2015 todate?
 
Nasikitika saana kuona mtu ambae sisi wasukuma tulikuwa tunamtegemea atutoe kimasomaso mbele ya jamii ya watanzania kwamba ni miongoni mwa wanaharakati wachache kumbe nae ameamua kujitoa ufahamu na kujivika uchizi na kuamua kwa makusudi kutegemea akili za akina humphrey polepole kuchabua mambo, (Paschali Mayalla), ulikuwa tegemeo letu wasukuma sasa sijui tunafanyaje, hili kabila letu ni shia kubwa sana, Ndoho tabu na wakati mtu amefungwa pingu mikononi, naamini kuna siku utayakana haya maneno ya aibu kwako,Ingekuwa leo ni mwaka 1959 kwa msimamo wako huo tungepata Uhuru kweli ??
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Mazuri napongeza, mabaya nakosoa, maovu nalaani.
P
 
Validity ya ripoti zote ni the date of publications.
Ikifanywa research ya kwanza kwenda aga za juu, nchi itakayo shinda ni Urusi kupitia safari ya Yuri Gagarin. The date of publication ikiwa ni leo, pongezi anapewa rais wa Urusi wa sasa.
P
Mkuu hapo sasa unatuchefua kidogo, waweza fanya utafiti mwaka 2013/2014 ukaipublish 2019 ila huwezi sema iko validi kwani lazima tusome walao abstract tuone data zilikusanywa mwaka gani. Tafadhali kunywa maji uvute pumzi kidogo P
 
sawa mkuu hiyo niripoti ya kwenye makaratasi je kwa akili unaonaje umasikini umepungua au umeeongezeka mana za kuambiwa changanya na zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaonekana mazoba kujadiri taarifa inayoongelea Data za mwaka 2011 na wakati leo ni mwaka 2019, miaka 7 imepita, watu wangapi wamekufa kwa njaa ?, inawezekana ni miongoni mwa waliotajwa mkwamba waliondolewa katika lindi la umaskini,, watu wangapi wamepotezwa, wangapi wametekwa na kunyofolewa kucha ?, wangapi wameuawa ?, (akiwemo Kamanda Mawazo), serikali ya ccm ndio inapenda watu wajadiri mambo yaliyopitwa na wakati ili wao wapate mwanya wa kuiba raslimali
 
Mkuu hapo sasa unatuchefua kidogo, waweza fanya utafiti mwaka 2013/2014 ukaipublish 2019 ila huwezi sema iko validi kwani lazima tusome walao abstract tuone data zilikusanywa mwaka gani. Tafadhali kunywa maji uvute pumzi kidogo P
Yes unaweza kufanya utafiti 2013/2014 uka publish 2019 but the title itakuwa ni 2013/2014 report on so and so. Kama kutafsiri tuu ripoti ya CAG ni issue, hii mijiripori ya World Bank mnaweza kutafsiri nyinyi?.

Kuitafsiri ripoti hii what exactly does it mean tunahitaji ma researcher wa ukweli. Hata mimi na ujanja wangu wote sijaweza kuisoma hiyo report na kuitafsiri. Data collection period ni 2000-2015.
From 2015- November 2019 data hizo zimekuwa zikichakatwa. The Report was published December 2019. Watu wote wasiojua mambo haya kwa undani hatuwezi kujua why data za 2011 zitolewe na ripoti iitwe 2019 badala ya 2011 etc

Mimi kama mwandishi wa habari, kazi yangu ni moja tuu, kuwaeleza Watanzania kupitia JF kuwa Tanzania ndio nchi kinara duniani imeongoza kwenye kupunguza umasikini uliotopea.
Kwa vile ripoti ni ya 2019, then sifa ni kwa Tanzania na pongezi ni kwa rais Magufuli na awamu yaje ya tano.

Dah, kazi kweli kweli, yaani hujui au unafanya makusudi mkuu.Unafikiri humu jukwaani wanaokurekebisha sio hao hao maresearcher? Kuna siku nitashare na wewe publications zangu mkuu ila kwa ufupi unafeli sana kadiri siku zinavyoenda. Najua unajua kwa nini unafanya haya unayofanya.
 
Yes unaweza kufanya utafiti 2013/2014 uka publish 2019 but the title itakuwa ni 2013/2014 report on so and so. Kama kutafsiri tuu ripoti ya CAG ni issue, hii mijiripori ya World Bank mnaweza kutafsiri nyinyi?.

Kuitafsiri ripoti hii what exactly does it mean tunahitaji ma researcher wa ukweli. Hata mimi na ujanja wangu wote sijaweza kuisoma hiyo report na kuitafsiri. Data collection period ni 2000-2015.
From 2015- November 2019 data hizo zimekuwa zikichakatwa. The Report was published December 2019. Watu wote wasiojua mambo haya kwa undani hatuwezi kujua why data za 2011 zitolewe na ripoti iitwe 2019 badala ya 2011 etc

Mimi kama mwandishi wa habari, kazi yangu ni moja tuu, kuwaeleza Watanzania kupitia JF kuwa Tanzania ndio nchi kinara duniani imeongoza kwenye kupunguza umasikini uliotopea.
Kwa vile ripoti ni ya 2019, then sifa ni kwa Tanzania na pongezi ni kwa rais Magufuli na awamu yaje ya tano.

P
Mimi nafikiri ni bora ripoti ingesema "Umaskini umepungua kwa Paskali Mayalla na wanufaika wa system, kwani sisi waTz bado tunao umaskini.
 
Back
Top Bottom