g55 wamemvuruga kabisa kisaikolojia huyo mjamaa,Jamaa kashikwa kama unamkamta kahaba wa manzese πππ
Huyo ndio anakuambia atakinukishaππ
Unadhani atuwajui?Na mfahamu kwamba mpinzani si Lissu tu wapo wengine undercover watawasumbua mpaka mshike adabu zenu. Avumaye baharini ni papa, wengine wapo, hata kwenye chama chenu wapo, ni underground
kiburi huangusha dola kama hujui, kuweni makini msije anguka kwa aibuDemokrasia kutukana na kueneza upumbavu?
Lissu time hii akibadilikwa rangi mtasikia msiyotaka kusikia
Asijione yeye ni mjanja sana
Yeye ni mtu wa kawaida tu mbele ya Dola.
Amtafute Mrema Lyatonga ampe simulizi
Huu ndio ukweli.Kamchezea simba sharubuJamaa kashikwa kama unamkamta kahaba wa manzese πππ
Huyo ndio anakuambia atakinukishaππ
Hesabu miaka 100 mbele.kiburi huangusha dola kama hujui, kuweni makini msije anguka kwa aibu
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Wanajificha,waoga,halafu wanasema wataandamana.Mtaacha lini kutumia majina feki?
Mnajitaaa wakombozi huku mmeficha majina yenu
Stupid
Kwisha kabisa.Anachezea sharubu za simbaπππ mfaidika ni Mama sio wewe na uchawa wako. Ni mjinga tu atasifia kukandamizwa kwa mtu ambaye anapigania chaguzi huru. Yaani kwa akili yako ndogo hujui mpaka leo kwa kulewa uchama Lissu anapigania nini hasa. Watoto wako au wajukuu wakija kuangalia nyuma watakojolea kaburi lako kwa ujinga ulionao
Maboya hawaWanajificha,waoga,halafu wanasema wataandamana.
uachage kuandika upumbavu hata kama unaishi kwa kazi hiyo. Dola ni dude moja kubwa sana na lina nguvu nyingi ila kiburi hufanya lianguke kwa aibu pamoja na kuwa lilikuwa na nguvu, take careUnadhani atuwajui?
Sasa kwa Taarifa yenu hao ndio wanawachezea akili
Siku ya Uchaguzi mtakua hoi mmefarakana kama walevi wa gongo
Kwisha kabisa.Anachezea sharubu za simba
Kwamba Lissu ni mkombozi?πππ mfaidika ni Mama sio wewe na uchawa wako. Ni mjinga tu atasifia kukandamizwa kwa mtu ambaye anapigania chaguzi huru. Yaani kwa akili yako ndogo hujui mpaka leo kwa kulewa uchama Lissu anapigania nini hasa. Watoto wako au wajukuu wakija kuangalia nyuma watakojolea kaburi lako kwa ujinga ulionao
Hiyo hali hata cardinal pengo anayo,ni uchakavu,uzee..we maziwa yako bado yamesimama kama ulivyokua 17!?..Mwangalie Omari Mahita hali aliyo nayo sasa kama kielelezo cha ushetani.
Unayefuatia ni Wewe.
Walichezea mabomu kwanza hapohapo,wakskimbilia chooniLissu kakamatwa waliokua wanategemewa wataandamana wanabishania simba kumfunga Al masry yani hawana habari
Umetumwa na Mbowe?Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!??
Wepesi kama biskuti?
Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko.
Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko.
Lissu kadakwa kama kuku πππ
usishapaze shingo, huwezi kujua kesho nini kitatokea, kiburi si uungwana, mtaanguka vibaya sana kwa njia msiyodhaniaHesabu miaka 100 mbele.