Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1:)Pombe

2:)Wanawake

3:)Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
Karibu kilingeni Msata
 
Yoshua Bin Sira 31:25-29

"25 Usijionyeshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana imewaangamiza wengi.

26 Tanuru hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.

27 Pombe ni kama uhai kwa mtu akinywa kwa kiasi, Maisha yafaa nini bila pombe?

Imeumbwa iwafurahishe watu.
28 Kunywa pombe kwa wakati wake na kwa kiasi, kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

29 Lakini kunywa pombe kupita kiasi, kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha."
 
Tatizo la beer ukinywa moja inachochea nyingine halaf mwisho wa siku inakuwa kata mti panda mti.... !
 
Biere imenizingua sana last year sitaki hata kuisikia mwaka huu naona hata mama mtoto hata siku hizi ana furaha usoni mwake
 
Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1:)Pombe

2:)Wanawake

3:)Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
Utaepuka vyote lakini namba 2 huwezi kuiepuka hata iweje, Mimi nilijaribu, lakini ghafla nikatongozwa na mke wa mtu kesho nina ahadi ya kwenda kumtafuna.
 
Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1:)Pombe

2:)Wanawake

3:)Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!

Ulichokosea ni kujiingiza kwenye siasa tu....Yaani katika maisha yako ukitaka kujilostisha jiusishe na siasa kwani utaonekana kama Lissu, Zitto, au Mbowe, na kwanza jamii haitakuelewa kamwe. Wanawake ni muhimu kuwa nao ila usiwaendekeze. Pombe si LAZIMA, kwa jili nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom