Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Pombe na wanawake unaweza kuviepuka kwa 100%, lakini siasa hutaweza kuiepuka. Kwanini? Siasa ndio inayokuamulia ule nini, uvae nini, ulale wapi, uishi wapi, uishije, upumzike lini, ufanye kazi gani, usafiri wapi nk.

Hata uwepo wako humu JF ni matokeo ya maamuzi ya kisiasa, ipo siku tena sio siku nyingi huenda hata JF ikafungiwa kabisa kwa amri ya wanasiasa. Kama unabisha za jiulize jambo forum iko wapi?

kwani Jambo forum na Jf sinikitu kimoja au?
 
1. Pombe najua utaiacha maana ni maamuzi tu na kuyasimamia.

2.Siasa, utapunguza tu kuiongelea, lakini bado utaifuatilia maana maisha yetu yamezungukwa na siasa na wanasiasa ndiyo wanaotutawala.

3. Wanawake, wanawake, wanawake. Bado utapiga nao mbizi tu baharini.
Sema tu utapunguza au kuchagua yule unayemuamini tu.

Anyway, hongera kwa maamuzi yako.
 
Pombe ndiyo anaharibu siasa na ionekane km ni kichaka cha waovu.
Kuhusu wanawake unatakiwa uwe na mwanamke mmoja tu km mkeo. Hii sekta huwezi kuikimbia lbd uwe hausimamishi.
Ogopa bia ila siyo pombe sbb nayy ni binadamu km binadamu wengine
 
Pombe na wanawake unaweza kuviepuka kwa 100%, lakini siasa hutaweza kuiepuka. Kwanini? Siasa ndio inayokuamulia ule nini, uvae nini, ulale wapi, uishi wapi, uishije, upumzike lini, ufanye kazi gani, usafiri wapi nk.

Hata uwepo wako humu JF ni matokeo ya maamuzi ya kisiasa, ipo siku tena sio siku nyingi huenda hata JF ikafungiwa kabisa kwa amri ya wanasiasa. Kama unabisha za jiulize jambo forum iko wapi?
Mh?!
Ila usiombeee ivyo mkuuu. Wengine tunatumia Jamii Forum kama Business Directory

Naikubali sana Jamii Forum.
Alafu wapenda maendeleo kuna hii blog ya Fikra pevu msisite kufika umo na yenyewe IPO chini ya Jamii Forum
www.fikrapevu
 
Nakuja leo

'Me nakupenda sana unanipenda sana,
Usiniache utanipa kaugonjwa
Kamoyo kuuma ninakukosea sana
Yaani mpaka huruma usiniache
Utanipa kaugonjwa kamoyo kuuma uloyaona jana
Unisamehe uchunge penzi liendelee
Ebo unataka nini nikuletee itaki yajirudie
Ya enzi zile"...

Njooooooo!!!!

cc: mahondaw
 
Hapo tu unaponimarrrllliza Smart911 wamimi nakuachaje kwa mfano! Teh pombe yetu ilipo sasa [emoji40]
 
AYA YA SIKU

Na tuchunguze njia zetu na kuzijaribu, Na kumrudia Mungu tena.

Maombolezo 3:40
 
Mie sijakuelewa vizuri!! Yaani wanawake unaacha kabisa uishi bila kugegeda kabisa? Au utapunguza idadi ya uliokuwa nao?
 
Back
Top Bottom