Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Pombe, Siasa na Wanawake Mungu niepushie mbali

Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1🙂Pombe

2🙂Wanawake

3🙂Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
Wanawake tu ni taasisi ya fedha inayojitegemea japo haina usajili wa bot
 
Habarini wanajf

Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu.

Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na
Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ...

1🙂Pombe

2🙂Wanawake

3🙂Siasa

Nimeteseka sana kwa muda mrefu kwa minyororo ya hawa maadui.......!

Sasa nasema "enough is enough " nimetosha "life can't be one endless party oh my God help me.....! Give me strength to defeat them....."

Poleni sana ndugu jamaa na marafiki najua pengo langu halitazibika lakini imenibidi kufanya uamuzi mgumu.....!

Jah Guide.........!
Omba ubadilike jinsia uwe mwanamke, haya maombi sio ya mwanaume
 
Pombe tu ndo waweza kwepa hvyo vingine wajidanganya ndugu usiiongopee nafsi yako huwezi ishi bila siasa maana siasa ni matokeo ya demoklasia na democracy ndo inayojenga nchi...
 
Sasa si bora ufe tu sasa uende kupumzika kwa Mungu...? Maana hakuna maisha bila hivyo vitu vitatu
Aliyekwambia ukifa unapumzika ni Nani....? Utapumzikaje wakati kuna hukumu ?
 
Sio tamaa ya pesa tuliumbwa kuhudumiwa ndo maana hatukuambiwa kula kwa jasho, uwe muelewa bro.
Kila mtu ataubeba mzigo wake yeye mwenyewe.Haki sawa mlipewa huko Beijing au umesahau.....?
 
Pombe na siasa wala huhitaji msaada wa huyo mungu unaemsema(sijui kama yupo).

Ni uamuzi wako tu.

Siasa ni maisha, unaweza kuacha kua active ila ukataka kujua kinachoendelea nchini.

Mimi siko active ila najua yote yanayoendelea bongo kisiasa.

Kwenye wanawake huwezi kuwaepuka completely, at least uwapunguze, kama ulikua unakula makahaba wa bar baada ya kulewa basi achana nao, tafta wanawake wa maana wachache ambao unaweza kuwahudumia.
daaaaah we jamaa umemkana mungu kweli au nmesoma vbaya comment yako!? unahitaji msaada aseee co kwa ujasir uo jombaaa[emoji15]
 
Back
Top Bottom